Magufuli ni lazima alaumike na sio sheria MAANA SHERIA HIYO IKO SAHIHI KABISA, kwa sababu visingizio vyake si vya kweli. Anakomelea wasafirishaji ili adanganye wananchi wa kawaida na kuwaifitini ili waamini kuwa wasafirishaji ndio wanaoharibu barabara nae kama ndio mtetezi ndio amakuwa mkali...
Magufuli ni lazima alaumike na sio sheria MAANA SHERIA HIYO IKO SAHIHI KABISA, kwa sababu visingizio vyake si vya kweli. Anakomelea wasafirishaji ili adanganye wananchi wa kawaida na kuwaifitini ili waamini kuwa wasafirishaji ndio wanaoharibu barabara nae kama ndio mtetezi ndio amakuwa mkali...
kwa walio kwenye mtandao ikiwa mpaka sasa wengi bado walifikiria scania bora kuiko Yutong kutokana na mdahalo huu, hakumaanishi hata siku moja kuwa itakuwa ndio sahihi au ndio itabadilisha ukweli kuwa Yutong ndio bora zaidi, maana inawezekana wamesema hivyo kwa sababu bado Yutong ni ngeni hapa...
Hahaha mkuu pole, naona kama umechukia, nilikuwa nakutania kuwataja wafanya wa scania na wala sipajui hapo scania kibaha.
Ila mimi ni researcher ndugu yangu na ninazo statistics na si vema kuzitaja ila hata hao uliowataja nina uhakika watakubaliana nami, maana ni kweli wanazo scania na...
Nnaungano mkono na mwenzetu alietowa mfano wa Yutong ya super feo route ya Sngea, na ni kweli gharama ya uendeshaji ya Yutong ni ndogo, ulaji wa mafuta ni mdogo na hata bei ya ununuzi wake ni mdogo kwa maana bei ys scania moja unapata Yutong 3, na wakati huo huo Yutong no bora kuliko scania...
Hiyo ndugu yangu si kweli, inaweza kuwa na katika wafanyakaza wa scania au hufahamu magari kwa sabu mili zifuatazo :
1 ) Body haihusiani na urushaji wa abiria bali suspension system ndio inayohusika, na katika hilo ukweli ni kuwa YUTONG INA RAHA NA WALA HAIRUSHI KABISA. na hata ukiangalia...
Na kwa taarifa tu, mabasi ya sumry yanayokufa njiani siku zote ni nissan ud na hino na wala si yutong, maana sumry hana yutong hata moja, na mabasi yanayokufa njiani mengi ni scania na kama kuna yutong utakuta ni chache na hata hayo machache utakuta wakati wa utengenezaji wamiliki au mafundi wao...
Ijapokuwa tokea mwaka wa 2000 scania zinazoingia Afrika mashariki ubora wake ni duni, mabovu na kibaya zaidi scania tz wala hawaweki vipuli na wakileta ni vipuli vya kutoka china ambayo bei inastahili iwe nafuu lakini scania tz wanawararua wa bongo.
Tunazisikia na kuzijua mbinu hizi. Na ndio...
Kampuni ya mabasi ya skandinanavia imehujumiwa kwa makusudi. Haikuwa kwa sababu ya madeni kwani makamouni yote hususan za usafirishaji zinadaiwa mpaka utosini. Makampuni mengi ambayo unayaona yana majina makuna yamepata hela kwa michoro, na yanamadeni kibao na hawatalipa na pamoja na hayo baadhi...
Asante kaka steve, nakushukuru, na nimekuelewa na najuwa hawakuwa wakikandia ila hali ya sasa inatisha kwani kuna watu wafisadi wanatumia njama tofauti ya kuchafuwa watu na kwa kuwa forum hii ndio ya kuamsha na kudhirisha ufisadi huo wao wakajaribu kutaka kutuondoa na kutuipeleke katika kuitumia...
CRDB alitumiwa na mfanya biashara mmoja aliozoea kudhulumu taifa hili na hakuna lolote kingine.
Njama zilipikwa kwa kutumia mwanasheria fulani aliwahi kuwa hakimu na akafukuzwa kwa rushwa na akafanya uwakili na akafungiwa na Serikali kwa ajili ya rushwa na game zake ndio tenda za kuhujumu watu...
Scandinavia OYEEEEEEEEEEEE, jamani tusitumike na watu kumpiga vita Skandi, skandi amejitahidi na amepambana na Mungu atamjaalia mshindi. Nadhani hapa tulie na wanaotuibia fedha zetu na kutuuzia chakula kibovu na wanaokimbiza mali zetru nje ya taifa lertu
ikiwa nyie ni watanzania nadhani inapasa tuwe wazalendo wa kweli na musiiponde kampuni ya kizalendo ilioyofanya mashirika ya umma yaliyokuwa yakipewa ruzuku yalishindwa kufanya.
Scandinavia ilihujumiwa na ma tycoon wachafu wasioitakia mema TZ. Hao ndio walioipania kwa sababu za uroho wao na kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.