Recent content by SIMBA WA YUDA II

  1. S

    Kujikanganya kwa Kikwete hukumu ya CCM uchaguzi 2014/2015

    CCM KUSABABISHA WATZ TUNAOMBOLEZA KUPOTEZA FURSA YA KUPATA KATIBA BORA NI LAANA KWA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAGAMBA Katiba ni roho ya mfumo wa uongozi wa nchi. Ni ubongo wa kuongoza nchi. Ni msingi wa kuongoza nchi. Ni dira ya kuongoza nchi. Anayedhuru mchakato wa kupata katiba bora Tanzania ni...
  2. S

    Kujikanganya kwa Kikwete hukumu yake Uchaguzi 2014/2015

    CCM KUSABABISHA WATZ TUNAOMBOLEZA KUPOTEZA FURSA YA KUPATA KATIBA BORA NI LAANA KWA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAGAMBA Katiba ni roho ya mfumo wa uongozi wa nchi. Ni ubongo wa kuongoza nchi. Ni msingi wa kuongoza nchi. Ni dira ya kuongoza nchi. Anayedhuru mchakato wa kupata katiba bora Tanzania...
  3. S

    Siita alaaniwe na genge la mafisadi wa ccm wanaojumu rasimu ya tume ya katiba

    CCM KUHUJUMU KURA ZA HAPANA KATIKA BMK WAALANIWE NA WATZ WOTE NA WATETEZI WA HAKI KWA DHAMBI HIYO YA KIHISTORIA. Watz wenzangu, kura ya siri huwa ni siri, na kura hupigwa mara moja tu kupata maamuzi yanayotakiwa. kura ya siri kamwe haitowi nafasi ya kujua nani amepiga kura ya mlengo flani...
  4. S

    Samwel Sitta na genge lake waanza kuwarubuni wajumbe wa BMK

    Ruttashobia wewe ni marehemu wa kufikiri objectively. unatumia tumbo kufikiri baada ya kuweka akili mfuko. huna hoja. ukawa ipo kwa ajili ya watz, ccm kwa ajili ya mafisadi. thinking yako iko xtremely poor.
  5. S

    Samwel Sitta na genge lake waanza kuwarubuni wajumbe wa BMK

    Mkuu uko sahihi sana. ccm ife ili watz wapone kwa masilahi ya wengi..
  6. S

    Samwel Sitta na genge lake waanza kuwarubuni wajumbe wa BMK

    Wizi wa ccm kupitia kiongozi wao ktk bmk ulaaniwe. siita kuungana na vijicent kunyonga rasimu ya Watz ili kulinda ufisadi wa ccm. haikubsriki. huo ni ushetani wa kutisha usiokubarika wala kuvumiliwa.
  7. S

    Hatari: Abiria wa Bukoba msipande magari ya kampuni ya Mohamed Trans, yana kunguni

    Nilipokuwa natoka bkb dar nilipanda KRS express. Hao sitawaki na kuuwa kwao.
  8. S

    Bunge la Katiba, kitendo mnachokifanya dhidi ya Watanzania kuchakachua maoni yetu ni kutunajisi

    Samwel Siita na ushirika wa ccm katika Bunge la CCM kitendo mnachokifanya dhidi Watz kuchakachua maoni yetu ni kutunajisi kwa kutulazimisha rasimu ya ccm, kufuja fedha za umma, na kusababisha casualties ambazo umezisababisha wewe ukijipendekeza chama chako cha Magamba ukitaka kikubebe 2015...
  9. S

    UKAWA: Katiba Mpya inatengenezwa kwa Mtutu wa Bunduki! Nchi sasa inaendeshwa kijeshi...

    Lowasa hawezi kujipeleka msalani eti magogoni. Mmekuwa wajinga kuwa wafuasi wa ccm na hadi sasa unaongea upuuzi huo.
  10. S

    UKAWA: Katiba Mpya inatengenezwa kwa Mtutu wa Bunduki! Nchi sasa inaendeshwa kijeshi...

    Mchochezi ni wewe mfuasi wa ibilisi na mawakala wake ccm.
  11. S

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Vijana wengi hawajitambui. Ccm tunapaswa kuwadhibiti ccm wasiweze kura hata moja. Tukirejea uchaguzi mdogo chalinze, na kalenga mtakubaliana na mimi kuwa vijana wa Tz wengi ni mazuzu, wanatumiwa kama mishumaa.
  12. S

    Picha: Kinana akiwa ziarani jijini Mbeya

    Mimi niko Mbeya mjini, nishuka uwanjani nilipokuwa natoka kazin nilikuta mkutano ukiendelea. CCM walijitahdi sana kutafta watu kwa gharama ya fedha, halafu watu wengi sana wanachama wa CHADEMA walikuwa wamesimama kando ya mkutano wakiwachambua ccm wakiwacheka wakiona viongozi wa ccm walivyokuwa...
  13. S

    Kivumbi uchaguzi mdogo wa madiwani, kata 23 kushindaniwa, feb 9, 2014

    Hapo patakuwa patamu, CHADEMA Vs CCM round 3. Ile ya Arusha Ma-CCM walipigwa 4-0 CCM wakitoka mikono mitupu. Sasa tunapima sehemu zipi Tanzania zenye maendeleo duni ila bado wanaikumbatia CCM. CCM lazima ife ili haki na maendeleo vipatikane Tanzania. CHADEME ndiyo chama cha Ukombozi wa masikini...
  14. S

    Ni Serikali au CCM ndio inayonuka DAMU?

    Kuanzia leo nimeamini ma-ccm ubongo wenu hauwasaidii kitu. hamba utu bali ninyi wanyama. mkiyaeleza hayo hadharani Watz watawakomesha kwa kuwapiga mkome ujina wenu. hamna hata hofu ya Mungu kutetea wizi na maovu ya ccm kumwaga damu za watz. mmekubali kuwa vibaraka wa ibilisi. subili 2014/2015...
Back
Top Bottom