Recent content by Simba wa teranga

  1. Simba wa teranga

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

    Kwa mtazamo wangu naona tuwe wavumilivu hadi wiki ya kuanzia tare 12 hadi 18 mzigo unaweza kuwa hadharani lakini pia tusiziwazie sana maana unaweza kuziwazia ukakuta haupo. Wacheza kamari tunaelewa moment kama hizi tulimpa dotmund kuwa bingwa ila haikuwa hivyo😁
  2. Simba wa teranga

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu na Afya

    🔨🔨🔨🔨🔨
  3. Simba wa teranga

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu na Afya

    Basi kama ndo hivyo hao wa 2022 wafue mabegi kabisa na kuandaa nauli za kwenda vijijini
  4. Simba wa teranga

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu na Afya

    Wapo na ukitaka kuthibisha kuwa wapo subiri pdf itoke usipowakuta wa 2020,na 2021 wa physics
  5. Simba wa teranga

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu na Afya

    Unaweza fua begi ukija kuangalia pdf haupo bila kujali wewe ni mwaka gani hizi ajira ni kama kucheza kamari yeyote anaweza kupata na yeyote anaweza kukosa
  6. Simba wa teranga

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

    Watu mnaharaka sana na hiyo PDF ila kwa miaka mingi hivi karibuni huwaga zinatoka wiki mbili before July
  7. Simba wa teranga

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Wakufake washafake
  8. Simba wa teranga

    JamiiForums Tanzania Tatizo la courses katika mfumo wa ajira za TAMISEMI

    Mkuu nisaidie namba zao nimejeribu hizi zilizopo kwenhe mfumo simu hatoki
  9. Simba wa teranga

    JamiiForums Tanzania Waliopangiwa kidatk ch a kwanza

    Ndo wametoa mkuu toka juzi
  10. Simba wa teranga

    JamiiForums Tanzania Waliopangiwa kidatk ch a kwanza

    Naomba mwenye link ya majina ya walopangiwa form one katika wilaya ya bumbuli mkoani tanga anisaidie
  11. Simba wa teranga

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Jamani natafuta group la watsApp la wana msimbazi
  12. Simba wa teranga

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Njoo inbox
  13. Simba wa teranga

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mimi ninayo na inauzwa
Back
Top Bottom