Recent content by Simba Mangu

  1. Simba Mangu

    JamiiForums Tanzania VAT kwenye Utalii, ni ushahidi tosha Serikali yetu iko sawa kwenye kila kitu!

    Ndugu uliza hoteli za serena, sopa , uliza Mamlaka ya Ngorongoro walivyopata upungufu wa mapato kwa watalii wachache, waongoza watalii wengi wamepewa mikataba ya temporary sio ajira kama mwanzo,uliza wizarani.
  2. Simba Mangu

    JamiiForums Tanzania Watalii (wageni) zaidi ya elfu nane wakatisha safari zao kutokana na kodi

    Brown nachelea kusema hujui ulichoandika hapo hakuna nia thabiti huenda ikawa wewe sio mtu wa eneo husika, kuna watu walio kwenye eneo hilo wameomba kuangaliwa kwa sheria mzawa kama mzawa unataka kumlipisha dola2000 kama leseni anapata wapi? je shilingi haina maana tena? au tumedharau yetu...
  3. Simba Mangu

    JamiiForums Tanzania Watalii (wageni) zaidi ya elfu nane wakatisha safari zao kutokana na kodi

    Brown Watanzania wanafanya kadri ya uwezo wao mfano leo nilitaraji serikali yetu iwasaidie wazawa waweze kumiliki biashara ya utalii vema ili hao watu wa nje wabakuki kuwa mawakala huko leo una muuwa huyu mzawa halafu unasema fanyeni kazi ipi?mfano serena atapunguza 50% wafanyakazi kitafuata...
  4. Simba Mangu

    JamiiForums Tanzania Watalii (wageni) zaidi ya elfu nane wakatisha safari zao kutokana na kodi

    Nyumba Ndogo tafiti zilifanywa na Tanapa in door Research natumaini husomi chini ya mstari na ndio nikakupa jina la nyumba ndogo
  5. Simba Mangu

    JamiiForums Tanzania Watalii (wageni) zaidi ya elfu nane wakatisha safari zao kutokana na kodi

    Kaka mwezi wa tano kama sikosei au wa nne waziri wa fedha alipita mikoani kuzungumza na wafanya biashara kwa ujumla wafanya biashara wa utalii walimwomba waziri wakutane nae wapate zungumzia kodi 31 zilizopo kwenye utalii na kuwa stop centre moja ya kodi mfano ulikuwa rahisi kwa bwana mpingo...
  6. Simba Mangu

    JamiiForums Tanzania Watalii (wageni) zaidi ya elfu nane wakatisha safari zao kutokana na kodi

    Tafiti zilizo fanywa na Tanzania national park kupitia madodoso mwaka 2014/2015 ilikuwa ifuatavyo, kama kutakuwa na ongezeko la tozo hifadhi za Taifa Dola 20 mpo tayari kulipa? jibu ni 100% no dola 10= 100% no dola 5= 80% no 20% maybe dola 1 = labda je huwa wataalamu hawashauri wizara serikali...
  7. Simba Mangu

    JamiiForums Tanzania Watalii (wageni) zaidi ya elfu nane wakatisha safari zao kutokana na kodi

    Huo urongo unatoka wapi? msichanganye siasa na mambo ya msingi Utalii sio sawa na kuuza nyanya wageni huwa wana book hata miiaka miwili na malipo hufanyika block bookings sasa hilo unalozungumza ni nini? sijui kwanini Mh Rais hakumweka balozi kagasheki kuwa waziri anaelewa kuhusu utalii na ndie...
  8. Simba Mangu

    JamiiForums Tanzania Watalii (wageni) zaidi ya elfu nane wakatisha safari zao kutokana na kodi

    Bwana Google hustahili kuitwa google hujui unacho sema,kwa mwaka Tanzania tunakuwa na watalii milion moja na laki tisa hiyo ni sensa ya mwaka 2015,hivyo hiyo data ni kweli kuna kampuni ya kupandisha wageni mlima kilimanjaro tarehe 27june walikuwa na cancellation ya wageni 1000 mwezi july hiyo...
  9. Simba Mangu

    JamiiForums Tanzania TANZIA: William Malecela afiwa na mama yake mzazi

    Pole sana brother kwa mungu tumetoka kwake tutarudi amin
  10. Simba Mangu

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kujitangaza kupitia EPL, bado hata waingereza wenyewe hawajui kama Tanzania ni nchi!

    Mfano mzuri hii ya juzi INDABA South Africa banda la Kenya lilikuwa mwanzo la Tanzania lilikuwa mwisho shida kubwa ni TTB hawajui wafanyalo wanaacha kuchukua watu makini wahusika na utalii wenyewe wanapeleka watu wa mshahara ambao hawajali nchi kukosa wageni wao wanajua mshahara watapata...
  11. Simba Mangu

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Nani anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, tuone Hapa kazi tu kwa vitendo?

    Angalau Agrey mwanzi kidogo hawa wengine mzigo kama mzee mwanakijiji,
  12. Simba Mangu

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Hiyo A.K.A ya mawe matatu muulize mzee wa msoga ndio alimpaga alipo mteua kuwa naibu
  13. Simba Mangu

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ya CCM iwakamate na kuwashtaki Rostam, Lowassa na Chenge

    mzee Tupa Tupa Kwa umri wako usha wahi kuona mtoto kamfumania mzazi wake? Nape ataanza wapi? Tayari keshaitwa rumbesa bungeni sio mzigo kama alivyo waita wenzie
  14. Simba Mangu

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Ufundi, Taarifa Muhimu kwa wanaopenda kujiunga

    Kuna Dogo ana 4.26 ana f ya hesabu ana ruhusiw kufanya computer kwenye somo la computer ana b
  15. Simba Mangu

    JamiiForums Tanzania Serikali kichukueni kiwanda cha Philips mkifufue, aliyekinunua kashindwa

    Mkuu Ritz Kwa taarifa mwenye kiwanda wanadai ni kijana yupo marekani ndipo anapoishi ila kila leo Lowasa Lowasa mwacheni mzee wa watu apumzike na mambo yake aje kuwatoa 2020 kwenye uchaguzi ila msm7 Tena
Back
Top Bottom