Recent content by simallyndama

  1. S

    WHAT? Uamsho Yakusanya Saini 60,000 za Kuhoji Muungano wa Tanzania

    1. TIMU YA TAIFA Timu ya taifa ina kocha mkuu yule mzungu ila kwenye mashindano ya CECAFA Tanganyika kupitia kivuli cha tanzania wanamtumia wao yule kocha kwanini musitafute wa kwenu kama zanzibar na wakati huo huo chama cha mpira wa miguu tanzania ndio kinagharamia mambo yote ya timu ya...
  2. S

    Rasimu ya Katiba: Tuwape fursa kuwasikiliza wa Serikali mbili pia.

    Hawa watanganyika hawafikirii na wana mawazo mgando Tume imependekeza serikali 3 wao wanasema serikali ya tanganyika itabebe mzigo mkubwa ku ifinance serikali yao na ya shirikisho na wao wameshaona zanzibar ni mzigo lakini huo mzigo(ZENJI) Umechoka kubebwa unataka uwekwe chini na yule mbebaji...
  3. S

    Warioba na Rasimu Ya Watawala (Punda Afe mzigo wa bwana ufike)

    Kweli kaka huu si muda wa kumtii mwenye kiti Na km usemavyo yale mambo yenye mzozo ndio wameyarudishia pale pale kwenye serikali ya muungano Aisee hapa wamekopi na kupesti
  4. S

    Tuanze kujadili katiba ya Tanzania bara (TANGANYIKA)

    We lengivaje sisi wazanzibar hatumtegemei mtu sisi yumefilisika kwa sababu ya muungano mbona hamujai hewa kila siku wazenji wanataka.kujitenga na nyinyi ila mnakua wagumu jua muungano unawafaidisha coz nyinyi ni tanganyika mulovaa mwavuli wa tanzania wezi wakubwa sisi hatutoi bidhaa hapo tu hata...
  5. S

    Sumaye apinga SERIKALI TATU

    Hivi mliwahi sikia kua pemba na unguja imeungana hivi visiwa ni vimoja tangea hiyo tanganyika haipo so huo wenu ni uchochezi Visiwa hivi ukisikia ni vya aljazeera ambavyo nabii suleiman alikua akivitumua ni hivi hivi. Sisi tunataka tutengane na nyinyi tukae kivyetu Variompa corione
  6. S

    Sumaye apinga SERIKALI TATU

    Mnaosema iwe serikali moja basi iwe ni serikali ya mapinduzi ya zanzibar sisi zanzibar tumepindua sio kama nyinyi kwa makaratasi na mnaosema serikali mbili basi iwe jamhuri ya watu wa zanzibar na jamhuri ya tanganyika kisha kama mnataka kushirikiana basi tucheki mambo fulani tushurikiane kwa...
  7. S

    Wengi wanaowaponda wazanzibar ni wale waliotoka mikoani kuja dar ukubwani.

    Zanzibar sio wavivu habana si watu wa kujipa tabu sana na ndio maana huwezi kukuta mzanzibar mkoa wowote akiwa akifanya kibarua wa kulima lakini zanzibar ndio kazi yao kubwa watu wa kule ushirombo runzewe na maeneo mengine niambie kua ni uongo wewe
  8. S

    Wengi wanaowaponda wazanzibar ni wale waliotoka mikoani kuja dar ukubwani.

    Jee wanajua hao kuwa zanzibar imeendelea mwanzo kuliko nchi nyingi kusini mwa jangwa la sahara na ndio maana vita ya pili ya dunia ilitoa msaada wa ndege ya kuvita i think it was 1945
  9. S

    Wengi wanaowaponda wazanzibar ni wale waliotoka mikoani kuja dar ukubwani.

    Ukweli unauma kaka waambie hadi sasa zanzibar kuna meli ziletazo gari nje na si kungineko but bara kuna gari zinazotoka nje na zinazotoka zanzibar sahv ni biashara kubwa ya magari zenji na watu toka bara malawi uganda burund na n.k na kwa taarifa kama sio huo ushuru dar walioweka kwa bidhaa...
  10. S

    JK, Shein waula

    Kweli si kauli nzuri
  11. S

    Kutoka Kibanda Maiti - Zanzibar

    Fikiria kwanza usiwe -----
  12. S

    Kutoka Kibanda Maiti - Zanzibar

    Hiyo kodi kariakoo sio issue kwani wazenji wapo bara tu hata uk na sehemu zingine ulimwenguni kua na akili wewe
  13. S

    Kutoka Kibanda Maiti - Zanzibar

    Kujitawala lazima
Back
Top Bottom