Recent content by Silver-Nitrate

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi huu wa kielimu ni wivu baada ya shule za serikali kukimbiwa, tutazalisha vilaza (gvnt school) badala ya vichwa

    Kwan Hili Dr.John Pombe Magufuli yuko sahihi mno! Mikopo iliwekwa kwa ajili ya kuwawezesha wanafunzi waliotoka familia duni zisizoweza kumudu gharama za elimu ya juu. Itakuwa ni wendawazimu kumpatia mkopo mwanafunzi aliyesoma smile binafsi kwa ada ya shilingi milioni tano huku ukimwacha...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Chemistry na Biology

    Napokea Mkuu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Chemistry na Biology

    Bado Mkuu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Chemistry na Biology

    Acha tungoje neema.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Chemistry na Biology

    Sawa ndugu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Chemistry na Biology

    Habarini Wanajamvi. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25. Nina Shahada ya awali(Bachelor's Degree) ya Sayansi na Elimu katika masomo ya Kemia na Baiolojia. Ninatafuta kazi ya ualimu wa masomo tajwa hapo juu katika Shule za sekondari,Shule za msingi za mchepuo wa kiingereza na Vyuo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa chama cha upinzani kuteuliwa mkuu wa mkoa (katiba ya CCM) akikubali ni kukosa uelewa

    Wasaidie Mkuu, naona hawaelewi kitu kidogo tu hicho.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hizi tofauti za majina zitaleta msiba kwa watumishi kusema hata nukta isitofautiane na payroll

    Kiswahili kigumu mkuu! Mdau kashindwa kupata maana.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hizi tofauti za majina zitaleta msiba kwa watumishi kusema hata nukta isitofautiane na payroll

    Bila shaka ina maana ana hakika na si kama ulivyotafsiri! Kiswahili.
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Kuwa makini Boss, wengine kule ni vidume na wameshajipatia njia rahisi ya kupiga pesa!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa mechanical engineering tukutane hapa

    Tupo mkuu, wasemaje?
Back
Top Bottom