Sasa ukishasema ili wajue,tunarudi pale pale kwamba tunafikiria tunawakomoa lakini kiuhalisia ni sisi ndio tunaathirika,unless kama hauhisi guilt kabisa
Wa kwanza ni wazazi wako,
Yes wazazi wako,wazazi wetu kwa namna moja au nyingine kwenye makuzi yetu kuna mambo ambayo huenda sio kwa ubaya au bila wao wenyewe kujua,tunajikuta wametukwaza sana na kutuachia majeraha makubwa sana.
Tumekuwa tukiwalaumu,tukiwa chukia na saa nyingine kutopenda kuwa...
You can teach a person through your behavior
Kwa kawaida hasira haileti uzingatiaji wa mambo,sana sana una backfire mambo
Kumdis mtu haimanishi your powerful but your very weak
Lower your ego na act in a positive way
Unajua nguvu hasa inatoka wapi?
Nguvu hasa ni kuwa cool na composed wakati wa changamoto,kero na maudhi
That is where the true strength is,work on that part,you will thank me later
Kuwa mwepesi wa hasira ni ishara ya kuwa weak
Hapa kwenye first impression matter umenikumbusha mbali sana
Kuna dada mmoja nilikuwa nafika lodge yao kila nikienda kwenye mishe huko mkoani
Baada ya kuanza kubadilishana energy sijui ni hasi au positive,siku moja ananiambia "yani siku ya kwanza kukuona tu nilitokea kukuelewa sana" 🤣🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.