Recent content by Silas Furniture

  1. Silas Furniture

    Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Wewe ni empty box [emoji403], hamna kitu Umewekewa fact hakuna fact hata moja uliyojaribu kupindua au kuweka mezani
  2. Silas Furniture

    Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Nimekuchapa umekimbiq, nae namchapa pia mkimbie wote Alafu kwann uliganishe simu za miaka tofaut?? 13 pro max iende na s22 ultra na sii vingine Sasa jamaa amekiri s21 ina vitu inazid 13 pro max.. fikiri 22 ultra itakuaje.?
  3. Silas Furniture

    Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Weka hapo kitu ambacho 13 pro max anamsizid samsung s22 ultra.. weka mezani sio mtazamo , NB. s21 ultra n toleo moja na iphone 12 promax, linganisha vitu vinavyo fanana, 13 pro max iende na s22 ultra Samsung n Samsung period, just imagine 21 kuna vitu umekiri imezid 13 pro max je s22...
  4. Silas Furniture

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Hutuhubu kurudi hapa, fala
  5. Silas Furniture

    Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Narudia n matunzo ya mtu, simu zangu siwekag protector na hazijawah kupata hata scratch tu na hakuna watu wana simu zimelika pemben ya vioo kama watu wa iphone , eti unaongoza , kwamba ujisemeee tu upuuz alafu useme unaongoa Fact n kama Ram , leo iphone 14 zina RAM 4 mpaka 6 , wakati...
  6. Silas Furniture

    Nawadharau sana Waingereza kwa kuendeleza utawala wa Kifalme

    We takataka nani kuambiwa wamepewa? Hao wamepigana kuchukua eneo kwa jeshi lao wenyewe Sawa na leo joseph konyi aingie madarakan utasema kuna wanajeshi bla bla, mtu amepigana akatwaa eneo hajapewa ni mali uake binafsi na kama unalitaka na ww kapigani Ni kama saudia, wamepigana wakatwaa eneo...
  7. Silas Furniture

    Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

    Hiki s ndio nilisema kule mwanzo? Umebisha alafu hapa unakuja tena kuunga mkono
  8. Silas Furniture

    Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Haya ni matunzo ya mtu binafsi , wala haina uhusiano wowote na ubora , ww kama unadosha dondosha simu yako ikapasuka kuna uhusiano gani na ubora? Au umekanyaga na gari moja ikasalimika??
  9. Silas Furniture

    Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Ndio maana unaona marue ruwe S9 toleo la 2018 unalinganisha na simu toleo la 2020? I phone 12 lmganisha na samsung galaxy s20, hakuna kitu unasogelea hapo
  10. Silas Furniture

    Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Hakuna iphone yeyote inayo izidi chochote Galaxy s22 ultra iliyopo sokon kwasasa Hata hizo iphone 14, hakuna kitu inaizidi samsung galaxy s22 Mnaenda nunua Samsung A series mnazitumia kama kipimo, njoo kwenye galaxy S series huku
  11. Silas Furniture

    Nawadharau sana Waingereza kwa kuendeleza utawala wa Kifalme

    Wameipata hiyo nafasi kwa njia ya upanga sio zawadi , baba wa eliza aliefarik jana aliuwawa kwa kukatwa kichwa
  12. Silas Furniture

    Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

    Natumia s20 ultra Nikaiweka hapo n watu wachache sana wanaoweza itambua Hizo a10 na hao uliowataja wana tofaut gani na infinix?
  13. Silas Furniture

    Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

    Usiseme simu za bei Mbaya, sema Iphone Sisi watumiaj wa samsung simu zetu hazina kitu cha kuifanya jamii wakiona wajue ile n samsung aina flan, mwingine anaweza hisi una infinix Wanaofaham matoleo ya samsung n sisi watumiaj wenyewe na tupo wachache
Back
Top Bottom