Recent content by Sikwangalasyene

  1. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA toeni jibu moja kuhusu Hospitali ya Ubungo maana mnatuchanganya mara Jacob, mara Kubenea na sasa Mnyika

    Kwani kazi ya chama ni kujenga hospitali? Hivyo chadema hawapaswi kuulizwa kwani ni kazi ya ccm na serikali yake.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!

    Is he unique anyway? My brother P, should we praise the Almighty God for our leader or praise him in person? If he is doing to the wishes of his fellow citizens he need not praises because that is how he was supposed to act. Now, why all those praises?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kubakia madarakani kwa Mbowe na timu yake: CHADEMA jitokezeni mseme kama hakuna uchaguzi na hamna mbadala wa Mbowe

    CHADEMA ni chama ambacho uasisi wake hauko sawa na chama tawala! Mimi nadhani kuzungumzia uchaguzi wa ndani wa chama tajwa ni kukikosea chama. Kuna maslahi gani kuzungumzia uchaguzi ndani ya chama husika? Asiyetaka kuona mwenyekiti aliyepo anaendelea kuwepo anayo nafasi ya kuhamia chama kingine...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Whoever has a spirit of FEAR is not of God!

    We need to be courageous for with God we're assured protection, power and love. Any spirit that is contrary to the will of God is of gods outright! We are not seem righteous by uttering Godly words only but with our own action and behaviour evil and ill-will. ''If God is for us, whoever is...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Point Blank: Pale tunapoukataa udhaifu kwa kutumia vitisho

    Defensive (Aggressive, Vocal)
  6. S

    JamiiForums Tanzania Point Blank: Pale tunapoukataa udhaifu kwa kutumia vitisho

    Kukataa sifa ya udhaifu hadharani ni kukiri kuwa u dhaifu pasipo mdhaifu kujua. Yamkini, ni kwa bahati mbaya mtu mmoja au taasisi moja yaweza kuona mambo au viashiria vya utendaji hafifu vya mtu au taasisi nyingine na kujiridhisha kwamba tatizo ni udhaifu (incapacity) kitabia, kiutendaji...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Point Blank: Hekima pekee ndiyo itakayotuvusha!

    Tusipoomba Hekima kutoka kwa MUNGU, hekima ya mwanadamu haitatuvusha salama!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli pekee ndio mkombozi wa Taifa!

    Mungu huwapenda wasemao ukweli lakini huwavumilia wasemao uongo! Ukweli lazima ubaki kuwa ukweli na uongo vivyo hivyo. Kama taifa, tunahitaji ukweli ushamiri ili tuweze kuyafikia na kuyatekeleza malengo yetu pendwa ya maendeleo ya nchi. Ikiwa tutaukumbatia uongo na kuufanya uwe ndio ukweli basi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Point Blank: Tanzania inapojengwa kama mnara wa Babeli. Tutaweza?

    Kwa wale wajuzi wa mambo wanisaidie! Nadhani maendeleo yanamaanisha kupiga hatua kwa kuelekea mbele. Awamu hii inanifanya nijiulize kidogo juu ya uelewa wangu wa awali kuhusu tafsiri hasa ya maendeleo. Nafikiria kuwa inawezekana maendeleo yakamaanisha kurudi nyuma. Nayasema haya kwasababu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Point Blank: Heri yao wanyonge na maskini wa nchi yangu, siye wengine hatujapata wa kutusaidia!

    Sasa mnyonge yupi kakombolewa kwetu?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Point Blank: Heri yao wanyonge na maskini wa nchi yangu, siye wengine hatujapata wa kutusaidia!

    Ni dhana njema kuzungumzia unyonge na umaskini IKIWA tu inaamanisha kutengeneza fursa ambazo zitawafanya wanyonge na maskini wa nchi kupata ahueni ya maisha ya kila siku. Hii ni kama vile; uhakika wa kupata huduma za afya kwa unafuu wanaoumudu,upatikanaji wa pembejeo za kilimo kwa wakati na kwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Point Blank: Tumekosea! Tuanze Upya!

    Katika jamii ya watu wenye ustaarabu na wanaoelekea kwenye ustaarabu kukubali kukosea ni jambo la kheri. Kamwe, kukosea hakumaanishi mwenye kufanya kosa hajui anachokifanya na si kwamba hajui kwa sababu hana uwezo wa kujua anachokifanya, lahasha! Pengine ni mbinu tu anayoitumia mhusika katika...
Back
Top Bottom