Recent content by Sikonge City

  1. S

    JamiiForums Tanzania Sikonge waandamana kupinga Said Nkumba kuchaguliwa na CHADEMA

    Aliyechukua fomu ni Hija
  2. S

    JamiiForums Tanzania Machemli, mbunge wa CHADEMA, ahamia ACT Wazalendo

    Atafanyeje? ata......??
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

    Frank usidanganye uma Alpha na Omega sio Jina la Mungu Alpha ni alphabet ya kwanza na Omega ni alphabet ya mwisho katika lugha ya Kiyunani (Greek) A na O ni mwanzo na mwisho
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Picha: Tulichokishuhudia katika mapokezi ya Magufuli Jijini Mwanza, upinzani unafutika

    sasa cha ajabu ni umati? Mbona idadi hiyo haijafikia hata mapokezi ya silinde na msigwa?
  5. S

    JamiiForums Tanzania TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    Kwani viongozi wa dini wanaishi mbinguni? huwezi tenganisha siasa na dini: coz dini yenyewe ni siasa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkutano wa CCM Arusha ni Aibu kubwa!

    Ni kweli kamanda nimepita jioni hii Sanawari nikafikri ccm nao wanafanya promotion ya vinywaji
  7. S

    JamiiForums Tanzania Uwiano wa Madiwani wa Arusha huu hapa. Je, Meya Gaudence Lyimo ataweza kukilinda kiti chake?

    Ndiyo hivyo tupo pamoja sikonge ni mimi pacha wako sikonge city. wavezya muhanya.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Uwiano wa Madiwani wa Arusha huu hapa. Je, Meya Gaudence Lyimo ataweza kukilinda kiti chake?

    Ongeza kiti maalumi kimoja ambacho cdm watapata baada ya kumtimua mmoja wale wa viti maalum
  9. S

    JamiiForums Tanzania NCCR Yakunjua makucha yake: Mbatia akerwa na Red Brigade ya CHADEMA

    sasa jamani kauli atoe mbatia; mwenyekiti huyu c alibwagwa vibaya na halima mdee kwenye uchaguzi wa jimbo la kawe 2010
  10. S

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa Misri: Serikali ya Tanzania, JWTZ na Polisi wanajifunza chochote?

    Umeeleza vizuri sana lakini nakupa pole kwani Tanzania hatuna Democracy bali tuna Demoncrazy
  11. S

    JamiiForums Tanzania Siipendi CHADEMA

    Mmmmmh hebu angalia kipengele no 1 unasema Chadema inaongoza nchi? angalia upumbavu wa pili usije ukazidi upumbavu wa kwanza.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa kata 4 za Arusha waahirishwa tena

    Kama ndo hivyo bac waunganishe na ile kata ya sombetini tuone kimbembe
  13. S

    JamiiForums Tanzania VOA: Godbless Lema amvaa Waziri mkuu Pinda

    Nimesikiliza voa wamewatafuta lema na nchemba hawakupatikana hewani hadi kipindi kinaisha
  14. S

    JamiiForums Tanzania VOA: Godbless Lema amvaa Waziri mkuu Pinda

    Hakuna kilichozungumzwa lema na nchemba wote hakuwa wanapatikana hewani mpaka kipindi kinaisha
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hizi signal zinaweza kutusaidia waliohusika na bomu la Arusha juzi

    hapo ni ngoma inogile
Back
Top Bottom