Recent content by sikajo

  1. S

    Tundu Lissu: Matumizi ya hovyo ya mamlaka ya kipolisi lazima yakome

    Wewe kabombe soma mtiririko wa hiyo masage ya lisu,siyo kokalili msitari mmoja na kuanza kulopoka
  2. S

    Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena?

    Achana na huyo,kaa tulia sort kitu kingine taratibu ukiona vigezo uvipendavyo oa,ndoa ni amani ndani ya familia ,kama hakuna aman ujue hapo hakuna ndoa.ukimung'ang'ania anaweza kukuua kwa sumu ili abaki na ampendae kwa sasa.amini usiamini ukimuacha utapata mwenye mapendo ya kweli na utahisi kuwa...
  3. S

    Ni mzuri nashindwa kumuacha na hajui kuwa nimeoa, nifanyeje?

    Amini kuwa muda ulioupoteza kuwa na huyo binti ungekuwa umetulia na mkeo Ungekuwa mbali zaidi na mambo mengi umepoteza bila kujua,wengi huzani kuwa wanawapotezea muda mabinti kumbe hata wao pia hujifunga kimawazo na kifikra na kufeli kimaisha
  4. S

    Ujenzi wa nyumba ya gorofa

    Mimi nina mpango wa kuanzisha ujenzi wa nyumba yenye walau gorofa tatu ya kuishi naomba msaada wa taratibu za kufuata kabla ya kuanza ujenzi
Back
Top Bottom