Recent content by Sijapewa username bado

  1. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hizi za watu kuokota simu za Iphone huko iran ni halisi?

    Wakuu kumekuwa na wimbi la video zinazodaiwa kuwa ni watu wanaokota Iphone kufuatia kuzama kwa meli huko kwenye mfereji wa Harmourz. Lakini je, zote ni sahihi?
  2. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Ukijenga kabla ya ndoa, ukioa nyumba ni ya wote mke na mume?

    Wakuu haka kavideo kanashtua kidogo. Uhalisia ni upi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Hii ndiyo Kamera ya kwanza duniani?

    Wakuu nimekutana na hii picha imekuwa na ukakasi kidgo
  4. S

    JamiiForums Tanzania MPYA Je, kisukari kinasababishwa na ulaji wa sukari nyingi?

    Wakuu kumekuwa na mjadala mara nyingi ukila sukari nyingi unaambiwa kuwa utapata kisukari. Je, matumizi ya sukari nyingi ni chanzo cha ugonjwa wa kisukari?
  5. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, unaweza kujua kundi la damu la mtu kwa sifa alizonazo?

    Je, Kuna uhalisia wa kutambua sifa za mtu kutokana na kundi lake la damu? Au kundi la damu linaweza kuchangia tabia za mtu?
  6. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wanawake kuwa na uhusiano na wanaume wenye uwaraza kunawapunguzia muda wa kuishi?

    Kumekuwapo na nakala ya gazeti inayosambaa mtandaobi ikiwa na madai hayo, likiwa na utambulisho wa Botswana Daily.
  7. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, wanawake wakila ndizi pacha inaweza kuwafanya wazae watoto mapacha?

    Habari JamiiCheck, ni upi uhalisia wa madai haya kuwa iwapo mwanamke atakula ndizi pacha atapata ama atakuwa na uwezekano wa kupata watoto mapacha?
  8. S

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Je, Paka kulia kama watoto wakati wa usiku inaweza kuashiria jambo baya?

    Wakuu hivi hali ya paka kulia usiku kama watoto wachanga huwa inasababishwa na nini maaana kuna muda huwa watu wanahusisha na imani potofu kamauchawi.
  9. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha hii ya Netanyahu akishangaa mavazi ya mwakilishi wa New Papua Guinea ni halisi?

    Je huyu ni Rais wa New Papua Guinea ambaye Waziri mkuu wa Israel anamshangaa kutokana na mavazi yake?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Una mshikaji wako ambaye nusura aingizwe chaka na 'fursa' za mtandaoni?

    Inabidi tufanyaje Mama Samia?
  11. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuku ana sumu kali kuliko Nyoka?

    Kuna kipande cha video huko Insa nimekiona jamaa anaelezea kuwa kuku wana nyoka kali kuliko ya nyoka. Hili Limekaaje wakuu?
Back
Top Bottom