Recent content by sigy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je naweza kujua anatumia simu gani?

    Jamani naombeni msaada Niliibiwa simu ila mazingira yalikuwa hivi. Nilimpa mdada lift kwenye pikipiki alivyoshuka kuja kucheki simu haipo. Sasa namba yake nilikuwa tokea siku nimpe lifti sijamwona tena. Sasa naombeni kujua kwasababu namba yake ninayo siwezi kujua ni aina gani ya simu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wanatembea na silaha

    Sasa kwasababu wao ndio wababe wa dunia kibao kimekuwa wao kwa wao na wasipoangalia ndio itakuwa kama congo
Back
Top Bottom