Habari zilizotangazwa na startv hivi punde zinasema mwigulu nchemba amejiuzuru nafasi yake na unaibu waziri Wa fedha ili apate nafasi ya kugombea nafasi ya urais kupitia ccm
Naomba kuwasiliaha.
Duuh kweli walimu wanahari ngumu wanakatwa michango kila mwezi na chama cha walimu CWT, lakini return ya pesa zao hata nauli hawapewi,na nasikia mwaka huu hata fulana mpya hawajapata watatumia za zamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.