Wana bodi,Ule msemo kwamba CCM inamilikiwa na mafisadi unatimia, kundi hilo kubwa sasa linapambana na vifisadi katika kile kinachoitwa kugombea Urais. CCM haina pa kutokea zaidi ya kufa kwa kupoteza katika chaguzi zake zote. Binafsi nilikuwa nina hofu na EL ,Makongoro na Agustino Ramadhani.Ndio...
Na leo hii Dr. Stephen Muchina amefukuza jumla ya Wanafunzi 24 huku akijua yeye hana mamlaka kama Academic Officer, pia hata Sheria za Chuo hazitoi mamlaka kwa Mkuu wa Chuo kufanya hivyo bali ni Displinary Commitee ambayo haijakaa
Ndugu zangu, Natoa taarifa za kusikitisha kuhusu Chuo cha Afya cha Saint Aggrey kilichopo jijini Mbeya, Mwanjelwa eneo la Sido. Chuo hiki kinatoa mafunzo katika kozi za Nursing, Clinical Medicine na Maabara katika ngazi ya Cheti. Chuo hiki kinaongozwa na familia ya Mwambusi chini ya Mkurugenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.