Pia usinywe maziwa, usile samaki na nyama kwa sababu ya saturated fats( mafuta mabaya yenye kuganda) wengi watashaangaa had samaki ila ukweli ndio huo, kuna aina ya samaki ambao want omega fatty acid imezoeleka kama mafuta ya samaki kitaalamu unashauriwa uyapate kutoka kwenye vyakula jamii ya...
Pia utumie vitamin E vidonge kavitafute ni Antioxidant nzuri sana na inazuia damu kuganda pia inapungua cholesterol kwa usalama zaid tofauti na statins ambazo side effects zake ni kubwa for long term use ,pia utafute vidonge venue vit B6 na B12 ni nzuri kwa afya ya moyo na damu.
Bila kusahau...
Hatua za haraka zakufuata ni hizi,
Kwa imegency unatakiwa uwe na Aspirin ndani kwako 24hrs ukiona hali inakuwa mbaya utumie 1 tablet hii inasaidia kuyeyusha damu na hivyo kukuepushia chance ya kupata stroke au heart attack, mara nying hutokea wakati wa asubuhi hivyo ni vizuri uimeze usiku kabla...
Pole sana mkuu, kwanza ondoa hofu hio ndio sayansi ya kwanza ya tiba kwenye kupona ufuatilie kitu kinaitwa Epigenetic
Pili tatizo lako chanzo chake hakikutibiwa that's why unapoteza muda kwenye conventional medicines. Sababu kubwa ya magonjwa ya moyo (coronary heart diseases) ni high amount of...
Mwanadamu amepewa utukufu mkubwa kuliko viumbe vyote nayo ni akili ss ww kama ukishindwa kuchekecha akili yako kwa mtiririko wa matukio yote hayo kama bado hujafahamu mchawi bac pole sanaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.