Recent content by Siddy22

  1. S

    Walimu wanafedhehesha sana, wananuka ufukara

    Wewe ushawahi kubakwa na mwalimu ndo maana una makasiriko nao sana😄😄
  2. S

    Picha Bora Kuelekea Oktoba 29

    🚮🚮🚮
  3. S

    Vijana msithubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo kwa watoto na mke

    🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿Kichwani kwako kumejaa mavi na syo akili
  4. S

    CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

    KILICHOBAKI MPWAYUNGU TAFUTA MUME MWALIMU AKUOE LABDA UTATULIZA SHOBO KWA WALIMU MAANA NI WAZI WE JAMAA KIPA KATOKA.
  5. S

    Walimu wamegeuza pesa ya chakula mashuleni kuwa posho zao wanajilipa

    Masikini wa kwanza ni wewe unayesomesha mtoto shule ya kimasikini kiande wewe.
  6. S

    Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

    Haina haja ya kubishana na mtu ambaye anatamani kuwa mwanamke ina maana tayari maisha yashamshinda anatamani kusukumwa tope
  7. S

    Afisa Elimu Jiji La Tanga, wazazi tunaomba ufafanuzi wa hii michango ya fedha

    Binafsi sioni tatizo kama lengo ni kumsaidia mtoto afaulu vizuri na pia wazazi punguzeni lawama zisizokuwa na kichwa wala miguu hizo senti za sh 200 ndo zinakufanya upige kelele sidhani kama ujinga utaisha kirahisi Tanzania kama tuna wazazi vichwa maji kama wewe.
  8. S

    Nimempa mke wa mtu zawadi ya chupi ameonesha kuikubali na kuifurahia sana

    Siku utakayopigwa mbupu uje usimulie hivyo hivyo.
  9. S

    Kivyovyote vile usitelekeze mtoto

    Ni kweli kabisa baadhi ya wanawake hawajielewi wanapandikiza chuki zisizo na maana na wanapelekea kutelekezwa.
  10. S

    Tuliolelewa na watu ambao sio wazazi wetu ila wakatundea Mema Tukutane Hapa

    Mimi pia nimepitia hali kama yako na nawashukuru sana walionilea na kufikia hapa nilipo na huwa mara kwa mara nawalipa fadhila kwani bila wao nisingekuwa hapa wana mchango mkubwa sana na kwangu Mungu awabariki sana
  11. S

    Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

    We jamaa umenikumbusha mbali sana aisee Kwa binti kaenga nyuma ya shule ya msingi kawawa ndo mitaa niliyozaliwa kitambo sana aisee.
  12. S

    DOKEZO Kashfa afisa elimu Longido, walimu ni Ngono na ulevi

    Hakuna dalili za ukweli kwenye hili milioni tano ili mtu apewe ukuu wa shule??Jipange upya mzee
  13. S

    Ni watumishi wa umma gani ambao kiwango cha mishahara yao ni LLS (E)

    SIYO LLS NI LSS YANI LEADERS SALARY SCALE HAO HUWA NI WAKUU WA IDARA PALE HALMASHAURI KAMA VILE AFISA ELIMU,DT,MKUU WA IDARA YA KILIMO,MKURUGENZI.
Back
Top Bottom