Jamani natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi Aje SIMANJIRO-ARUSHA mimi nije Mbeya, Njombe,Iringa kwa anayehitaji au ana rafiki yake au ndugu yake tafadhari mpe taarifa hii na tuwasiliane kupitia sim namba 0756961363
Nimetoka Tukuyu leo kwenda Vwawa mbozi ukwel n kwamba hakna tatizo lolote la usafiri kama mtoa hoja anavosema nlifka nanenane magari yote yalkuwa yanaeendelea na safari zao kama kawaida na hata ya kwenda Tunduma nayo pia na hakukuwa na maandamano yoyote ya bodaboda kama wanavosema ila kwa alie...
Duuuuh jaman mm n mhanga wa Dstv huwa hata sekunde haipt pind muda wa klipia ukfk hakna cha local chanel wala nn zote wanakata na wanachanel nne tu za ndan nazo n tbc,Itv, star tv na chanel ten. Nadhan TCRA watuxaidie kulikon kwa hawa jamaa na hata Eatv haipo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.