Kana umemsikia vizuri anasema kuna siasa ndani yake na ujumbuke mkataba wa Dangote na serikali kwa habari za chinichini ulisainiwa mitaa ya Lumumba, ila tungoje mana sinema hii ni tamu mwanzo serikali ilikanusha sasa wameanza kuumbuka taratibu na hadi mwisho mchawi atajulikana tu.
Hili suala hili ipo siku itafahamika na ndipo tutajua mbivu na mbichi hasa pale vijana hao wakishindwa kurejesha hiyo 7000 kwa siku na tunakoelekea vijana hao tutawakuta gerezani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.