Hawa ndio wahujumu wa kiwanda cha Cement Dangote pamoja na Serikali

mitindo huru

JF-Expert Member
Apr 26, 2016
1,607
1,596
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na dada Esther ambaye anasimama kama facilitator wa kiwanda cha Dangote kabla hata akijaanza na Mr Gabriel ambaye ni transporter mkuu wa makaa ya mawe wakihojiwa na Masoud Kipanya katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na Redio Clouds Fm siku ya leo walisema.
Wahujumu wakubwa wa kiwanda cha Dangote ni

1.Management ya kiwanda chenyewe kwa kuwa wanatoa taarifa zinazokinzana na makubaliano ya serikali hasa kwenye bei ya mauziano ya gasi pili bei inayokinzana kuhusu hali halisi ya soko hulia kwamba haiwezekani mwekezaji mmoja akauziwa gesi bei tofauti na wawekezaji wengine. Na ifahamike kwamba management ya kiwanda imejumuisha watu wengi wenye asili ya india na wachache kutoka nigeria.

2. Wahujumu wa pili ni wamiliki wa mgodi wa makaa ya mawe kule songea, kwa mujibu wa Mr Gabriel ambaye ni tramsporter anasema zoezi la kutoa makaa ya mawe kutoka mgodini hadi kupakia kwa gari moja inachukua siku nne hivyo ikapelekea tatizo la upatikanaji wa makaa ya mawe kwa kuwa uhitaji ya makaa ya mawe ni mkubwa kwa kiwanda cha Dangote ukilinganisha na upatikanaji nchini Tanzania. Na ijulikane wamiliki wakubwa wa mgodi wa makaa ya mawe kule songea ni watu toka india

3. Wahujumu wengine ni viwanda vya ndani na nje ya nchi vinavyozalisha Cement, hivyo wamekuwa wanatoa shinikizo kwa watu wengine wanaohusika na uzalishaji wa kiwanda cha Dangote kwa namna mbalimbali ili kuhujumu utendaji wa kiwanda mfano ni uharibifu wa mitambo, uwizi wa vitu mbalimbali kama mafuta, mashine mbalimbali n.k na management ya kiwanda cha Dangote wanajua hili tatizo.

Baada ya hayo maelezo machache yafuatayo yanaweza kufanyika ili kutatua hili tatizo

1. Dada Esther kwa maelezo yake amesema anawafahamu kwa majina watu wote wanaoshirikiana na watu mbalimbali ili kuhujumu kiwanda ila anaogopa kwa usalama wake, hivyo tunaomba Rais JPM ampe ulinzi dada Esther ili ataje hao watu kwa manufaa ya taifa.

2. Tunaomba mkataba uliosainiwa mara ya kwanza awamu ya Rais JK uwekwe wazi baina ya Dangote na Serikali ili ijulikane tatizo liko wapi kwa kuwa mara ya kwanza tatizo lilionekana ni makaa ya mawe lakini siku zinavyokwenda inaonekana kuna matatizo mengine kati ya serikali na kiwanda cha Dangote.

Nimeelezea kwa ufupi ila kadiri mjadala utakavyokuwa tutaendelea kuuchambua ukweli uliojificha.

NB: watanzania kama tunahitaji maendeleo inatakiwa tuvae uzalendo wa nchi. Tukitegemea mataifa mengine hasa hawa wahindi wawe wasemaji na waamuzi wa mambo yanayohusu maendeleo ya Tanzania hatutaweza kufika popote..
Hii ishu inatishia uchumi wa nchi na uwekezaji mana kama Dangote mwenyewe amefikia kuiongelea kwenye majarida na vyombo vya habari vya kimataifa kama Forbes na BBC.
Na kama kiwanda kimoja kikubwa kama cha Dangote kinatusumbua, je vikija viwanda 10 kama hivi itakuwaje kama serikali haina sera zinazoeleweka kwenye uwekezaji
 
Ulianza vizuri na ukaeleza kkama ulivyosikia huko! ila umeharibu hii chini :- Kazi ni utendaji , ufanisi na siyo Ukabila au uzalendo!!!

Huo ni mtazamo wangu mdau, mana wahindi wanahusika kuhujumu hicho kiwanda cha Dangote kuanzia kwenye Management ya kile kiwanda, management ya mgodi wa makaa ya mawe hadi wamiliki wa viwanda vingine vinavyozalisha cement ndani na nje ya nchi.
Na huu ni ukweli na wala sio ubaguzi au ukabila
 
Unawachukia wahindi.

Dhambi ya chuki inarithishwa.

Wakiondoka wahindi utawachukia wamatengo na hautaishia hapo.

Nionyeshe duka linalouza uzalendo nikaununue hata nusu kilo.

Nilivyoona mapicha yake na akina kinana pale Lumumba nimeona ni ujinga tu
Wacha wahujumiane huko na ccm

Au TIC kipindi hicho ilikua lumumba?
 
Itakuwa shida sana, lazima serikali ibadilike iache kufanya kazi kwa mazoea na kutoa kauli zisizo na tija kwa maendeleo ya viwanda hapa nchini
 
Ingekua vizuri tuwajue hao Middleman WANAO MHUJUMU Dangote ni Viongozi gani.

Inaeza kuwa Ujinga wa wachache wanakosa Ajira WaTz wengi
 
Hivi si tuliambiwa kiwanda kipo kwenye matengenezo ya kawaida tu? Wakati wanahojiana naye hawakumuuliza kuhusu lile tamko lao (Dangote) kukanusha taarifa zilizosambaa kwamba kuna "matatizo" pale Dangote?
 
Unawachukia wahindi.

Dhambi ya chuki inarithishwa.

Wakiondoka wahindi utawachukia wamatengo na hautaishia hapo.

Nionyeshe duka linalouza uzalendo nikaununue hata nusu kilo.
Kinachozungumziwa ni ukweli na wala sio chuki, hatuwezi kuogopa kuwasema wahindi kama wanakosea au wanahujumu uchumi wa Tanzania.
 
Huo ni mtazamo wangu mdau, mana wahindi wanahusika kuhujumu hicho kiwanda cha Dangote kuanzia kwenye Management ya kile kiwanda, management ya mgodi wa makaa ya mawe hadi wamiliki wa viwanda vingine vinavyozalisha cement ndani na nje ya nchi.
Na huu ni ukweli na wala sio ubaguzi au ukabila
Ukweli umeutoa wapi wewe, kusikia kupitia radio tu unaona ni ukweli, je unaweza kuthibitisha hayo maneno. acha kuvamia mambo kwa kusikia tu,subiri wenye ukweli watasema tu, ila acha ubaguzi au huna ndugu anaye ishi nje nchi
 
Ulianza vizuri na ukaeleza kkama ulivyosikia huko! ila umeharibu hii chini :- Kazi ni utendaji , ufanisi na siyo Ukabila au uzalendo!!!

NB: watanzania kama tunahitaji maendeleo inatakiwa tuvae uzalendo wa nchi. Tukitegemea mataifa mengine hasa hawa wahindi wawe wasemaji na waamuzi wa mambo yanayohusu maendeleo ya Tanzania hatutaweza kufika popote..
Hii ishu inatishia uchumi wa nchi na uwekezaji mana kama Dangote mwenyewe amefikia kuiongelea kwenye majarida na vyombo vya habari vya kimataifa kama Forbes na BBC.
Na kama kiwanda kimoja kikubwa kama cha Dangote kinatusumbua, je vikija viwanda 10 kama hivi itakuwaje kama serikali haina sera zinazoeleweka kwenye uwekezaji
Point
 
Kana umemsikia vizuri anasema kuna siasa ndani yake na ujumbuke mkataba wa Dangote na serikali kwa habari za chinichini ulisainiwa mitaa ya Lumumba, ila tungoje mana sinema hii ni tamu mwanzo serikali ilikanusha sasa wameanza kuumbuka taratibu na hadi mwisho mchawi atajulikana tu.
 
Ukweli umeutoa wapi wewe, kusikia kupitia radio tu unaona ni ukweli, je unaweza kuthibitisha hayo maneno. acha kuvamia mambo kwa kusikia tu,subiri wenye ukweli watasema tu, ila acha ubaguzi au huna ndugu anaye ishi nje nchi
Acha kukalili wewe, nafikiri unatakiwa ujifunze kufatilia vitu kabla haujaanza kuongea kama unakimbizwa. Hivi hawa wahindi kama wanakosea tusiwaseme?
 
there is always two sides in every story, nilimsikia yule dada leo ni kama hana consistancy, afu kuna mambo yapo so technical haya fahamu, tusubire majibu ya upande wa pili
 
Huo ni mtazamo wangu mdau, mana wahindi wanahusika kuhujumu hicho kiwanda cha Dangote kuanzia kwenye Management ya kile kiwanda, management ya mgodi wa makaa ya mawe hadi wamiliki wa viwanda vingine vinavyozalisha cement ndani na nje ya nchi.
Na huu ni ukweli na wala sio ubaguzi au ukabila
Kwani kiwanda hakina security & inteligence system ya kubaini wahujumu wa kiwanda? Wewe kama Mtz usiye na uelewa au direct connection na kiwanda,tukuaminije kwa kusema kuwa wahindi ndo wanahujumu? Una data yeyote kujustify verbals hizi?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom