Recent content by sichela

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wandugu

    Asante sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wandugu

    Nomba mnisaidie natafuta shula binafsi kidato Cha tano mchepuo wa arts yaan Hkl nina credit 3 yani H-c, k-b na engl c. Asanteni.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jamani naomben msaada wa dhati,matokeo yangu haya apa

    Nashukuru kwa wale wote mlio nipa ushauri Mungu awabariki na pia Mungu atawalipa kwa Wakati wake na kwa wale mlkonikatisha tamaa pia Mungu awabariki .Tenda unayopenda kutendewa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jamani naomben msaada wa dhati,matokeo yangu haya apa

    Asante kwa ushauri wako ,nitaufanyia kazi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni vitabu vipi vya HKL?

    Ata mi nme nufaika na swali lako
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jamani naomben msaada wa dhati,matokeo yangu haya apa

    Kati matokeo yangu sikutalajia Kama itatokea iv Nina History c,Kiswahili b,English c,geograph d,biolog d,chemistry d,civ e na mathematics e.sasa Nina div ya 32.je apo naweza kwenda wapi.nami nil upends sana Kuwa hakim lakini kwa matokeo hayo naw era enda kidato Cha tano iLi nitimize...
  7. S

    JamiiForums Tanzania wenye div 3 hawaendi kidato cha tano

    Wapo wenye div 4 na wamebalance
  8. S

    JamiiForums Tanzania Niorodheshee topics za Hgk

    Tatizo watu hamjieshim,saidien dogo sio madongo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Niorodheshee topics za Hgk

    Jamaa kashajikubal na Hgk sasa mane no ya nn ya kashfa jama,elim tuliyo ipata hata Kama ni ndogo kuwa kimawazo bas.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Je,ni kweli wanaume lazima jogoo asimame kila kunapokaribia kukucha?

    Ikitokea unasimamisha asubuh ujue una afya na waweza fanya kaz efective kama we husmamisha fanya utafit huenda likawa dubwana ilo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jama nina HKL je naweza chaguliwa kidato cha tano

    Jama naomben mnisaidie mm nina Histor c,kiswahl b na englsh c ila nina four ya 32.Je naweza kuchaguliwa kidato cha tano
Back
Top Bottom