Recent content by sibusiso dlomo

  1. sibusiso dlomo

    Waziri Bashe tafakari uwezo wako kabla hujaharibu kabisa sekta ya Kilimo

    Bashe ana mipango mingi sana ambayo anataka avifanye kwa pamoja kitu ambacho kitamuangusha vibaya,huku alizeti,huku vijana, huku ngano,huku ku control soko,huku umwagiliaji vyote hivi wengi hawakuvipata kwa miaka michache walianza kimoja kimoja. Wakulima wa kweli sio sisi wa mitandaoni hawa...
  2. sibusiso dlomo

    Ubinafsishwaji Bandari tatizo la Watanzania ni lugha ya Kingereza, Mkataba upo sawa

    Ukiuweka hapa kwa kingereza alafu tuone nani anaelewa vizuri, watu wanaweza kuuandika kwa maneno tofauti ila maana hiyohiyo mara tatu tofauti
  3. sibusiso dlomo

    Nakufanyia windows 10 activation kwa Tsh. 25000 tu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cmd
  4. sibusiso dlomo

    Msaada wa namna ya kuendesha biashara ya mgahawa ambao ni Classic, ingawa siyo sana

    Kama wewe sio mfanyakazi au kama ndio unaanza ni vyema kuwapa somo la nini unataka katika biashara yako, wafanyakazi waonr biashara katika jicho lako. Kama sio mfanyakazi sehemu nyingine unahitaji muda mwingi maana unaweza ukawa na idea ila soko likakupa kitu tofauti so ukiwa pale utagundua...
  5. sibusiso dlomo

    Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    Pole sana kaka. Biashara january na february ilikuwa ngumu sana. Hela ni ngumu sana kwasasa cha muhimu ni wewe sasa kuanza kuzitembelea hizo biashara zilizokuwa zinachukua mzigo. Kama ni bar basi tembelea muda wa usiku kaa mpaka mida mibovu uone mzunguko wao pia. Tengeneza mazingira mazuri ya...
  6. sibusiso dlomo

    Biashara imenishinda, nimerudisha fremu ya watu

    Pole sana ,biashara ngumu sana lazima uwe na heshima
  7. sibusiso dlomo

    Nifanye nini kuongoza vizuri hii biashara?

    Pole kwa changamoto kaka. Eneo la biashara limekaaje?usafi?sifa ya eneo. Biashara ya hotel kikubwa ni privacy na usalama. Mteja anatakiwa kujisikia huru muda wote. Matangazo sio jambo la muhimu sana inategemea na services zenu tu.word of mouth itafanya kazi yake. Kwa kifupi
  8. sibusiso dlomo

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Usafi ni jambo ambalo hatujaumbiwa watu weusi.watu weusi wengi ni wachafu sana.mtu anatumia choo maji yapo na bado ha flush choo au kumwagia tu. Wafanyakazi wanasafisha,wanafua,wanafagia nje kumaintain usafi kwa hali nzuri ni ngumu maana mara nyingi wapo wachache.sasa ni vizuri watumiaji wawe...
  9. sibusiso dlomo

    Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Yatoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Haijui Chochote Kuhusu Makubaliano Yoyote na Tanzania

    hii ni michezo tu wanatuchezea hawa barrick....kwa uelewa wangu mdogo wa mfumo wa biashara BOARD OF DIRECTORS NDIO WENYE MAAMUZI YA MWISHO SIO OWNER/SHAREHOLDER...kuhusu economic benefits serikali ilijua tunapata nini...economics benefits hazitoki katika faida ya kampuni bali ingetoka kwenye...
  10. sibusiso dlomo

    Zitto: Kwanini Serikali inaogopa Wachunguzi wa Kimataifa? Ushauri wa Lema swadakta

    serikali yetu imekuwa na muingiliano mkubwa wa kiutendaji....siasa imetawala kuliko taaluma za watu husika wanaopaswa kusimamia kazi zao...awamu ya tano imekuwa awamu mbovu sana sana kuanzia kiutumishi mpaka kiutendaji.waajiriwa wa serikali wamesahau kabisa ETHICS,MORAL,ACCOUNTABILLITY...
  11. sibusiso dlomo

    Bombardier zaingiza zaidi ya Tsh 4.500,000,000 (bilioni 4.5) kwa Mwezi kwa mwaka ulioishia 2017: Dreamliner kuongeza mapato maradufu.

    lakini mwaka jana 2017 shirika lilipata hasara ya 4.3billion..kama wasemavyo ila kama hakuna costs zao ni porojo tu watoe full report kuwa revenue kwa mwezi ni 4.5billion costs ni billion kadhaa faida kabla ya interest, depreciation na tax......tutawaelewa kidogoooo revenue bila costs ni porojo...
  12. sibusiso dlomo

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    1)uwezeshaji wa kupotea kwa pesa 1.5trillion bila mtu kuhoji 2)uendelezaji wa kazi nzuri ya kusaidia watu kuhama vyama na kupata tena vyeo walivyokuwa navyo bila mtu kuhoji 3)viwanda 3000+ kuanzishwa na uchumi kupanda kwa kasi nzuri wapinzani na wananchi kumuunga mkono 4)polisi kusimamia haki...
  13. sibusiso dlomo

    Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

    yaani hawa jamaa walitakia mpaka Raisi aongee au ilikuwa kiki ya kutengeneza
Back
Top Bottom