Recent content by Siah

  1. S

    JamiiForums Tanzania Shortlist ya PUMA Graduate Program lini?

    Mwenye hizo taarifa atujuze please PUMA Energy wanatoa lini shortlist ya Graduate Program
  2. S

    JamiiForums Tanzania Aptitude Test UAP Graduate Program

    Jamani kwa aliyewahi kufanya hizo test please naomba anielekeze utaratibu wa hyo link ya kufanya aptitude coz kwenye email yao hawaja ionyesha wamenipa tu maelezo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwa Wale wa CPA(T)

    sahiv sylabus zimebadilika kuna foundation stage, intermediate stage, na final stage nenda nbaa watakwabia pakuanza ila kama hauna background ya account utaanza foundation stage
  4. S

    JamiiForums Tanzania Schoolarship za China na kulipa Mkopo wa HESLB

    nenda jukwaa la elimu kuna discussion ya hyo scholarship na link yake
  5. S

    JamiiForums Tanzania China SCholarship na kulipa mkopo wa HESLB

    thanks kwa info, ila juzi tu ndo nimetoka kwenye hiyo ofice uliyo sems hapo juu ndo nikaambiwa nilazima uwe na hiyo evidence kutoka board ndo utapata hiyo schoolarship coz ipo kwenye guidelines zao a long as unaomba schoarship from any friendly country
  6. S

    JamiiForums Tanzania Schoolarship za China na kulipa Mkopo wa HESLB

    cheki web site ya wizara ya elimu wamepost
  7. S

    JamiiForums Tanzania Schoolarship za China na kulipa Mkopo wa HESLB

    higher education student loan board
  8. S

    JamiiForums Tanzania Schoolarship za China na kulipa Mkopo wa HESLB

    Jamani nasikia huwezi kupata hizo schoolarship za China mpaka uanze kulipa mkopo wa board ya mkopo. Naomba mwenye info za hizo process za kuanza kulipa anijuze na unaanza kulipa Tsh ngapi? Na chochote cha muhimu, na mwenye uwezo wa kunisaidia nipate hiyo scholarship please nisaidie nahitaji sana.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Chinese,governent scholarship

    naomba msaada wa procedure kwa walio apply scholarship za china
  10. S

    JamiiForums Tanzania unilever future leaders program

    Hii program ya unilever ipo on, kwa aliye apply tunaomba info plz maana ina viprocess vingi vingi kidogo
  11. S

    JamiiForums Tanzania diageo africa programe

    ni serengeti breweries graduates programe
  12. S

    JamiiForums Tanzania diageo africa programe

    naomba msaada kwa aliye apply diageo programe anielekeze alivo apply
  13. S

    JamiiForums Tanzania pccb

    naomba aliyee apply diageo programe anielekeze alivo apply plz!!!!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Top Ten Best Paying Banks in Terms of Salary by 2013 in Tanzania

    na vip kuhusu tanzania investment bank wakoje
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nisaidien wenzangu et bei ya nyumba za shirika za nyumba

    Kununua au kujengewa ndogo tu za familia ndogo
Back
Top Bottom