Samahani kiongozi, nilikuwa nataka kujua. Pindi ulipokuwa unaelekea kufanya presentation ulikuta wameshafanya connection ya computer utakayotumia pamoja na projector au ulifanya setting wewe mwenyewe?
Pili, walikuruhusu kufanya presentation kwa muda gani na ppt presentation yako ilikuwa ina...
Natafuta nyimbo za Nuruely_(1) Mimi narudi nyumbani (2) Wewe nifuate Maaa.
Nahisi kwenye majini siko sahihi sana ila ndani ya nyimbo hizo mbili mashairi ya namna nilivyoandika hapo juu.
Msaada tafadhali kwani nimekuwa nikizitafuta kwa muda mrefu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezakana pia yaweza kutowezekana, maana waweza kujua afya yako lakini ukakutana na mtoto mkali ukauza GAME chief[emoji4]. Mambo ya kupima pima tena kabla ya "game" ukayasahau na kuyaweka kapuni!
Maana si unajua morale ya "game" tena haswa ikiwa karibu karibu, mambo yote husahaulika[emoji4].
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.