Recent content by Shy 2 Dar

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

    sina uzoefu wa kupata namba kupitia kwa wengine bali huwa nawaomba wenyewe na akisha kupa tu mchezo umeisha ila kama hajakupa yeye lazima uwe na mistari zaidi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

    ndo mara ya kwanza kusikia kwamba wanaume wana hedhi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Fomu ya Polisi No. 3 (PF3)

    kabisa sheria inabidi ifanyiwe marekebisho ukute mtu ameumia badala ya kuwahishwa kwenye huduma akatibiwe anapelekwa kituo cha polisi,kama kuna ulazima zaidi wa mtu aliyeumia kuanzia vituo vya polisi basi serikali ijenge vituo vya polisi kila kulipo na hospitali ili kuepusha usumbufu zaidi kwa...
Back
Top Bottom