Ushawahi kuposa mzanj?au unaongea tu,hiyo tabia ipo popote kwa watu walo na tamaa ila wanofaham dini na kufuata taratib zake hawafanyi ivo hata kama wapo zanj ok
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Hehe hata wanaigeria wanakua wanavaa kofia wakati hata si waislam na hiyo nguo biarus ni nakshi ipi inaashiria uislam hem jitoe tongo ww uangalie vzri..thn uongee tena
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.