Recent content by shushushu wenu

  1. shushushu wenu

    JamiiForums Tanzania Bangi ilinifanya niwe najihukumu sana

    Kama wewe umepumzika mkuu Mimi bado naendelea hii kitu nzuri sana
  2. shushushu wenu

    JamiiForums Tanzania Zikipita siku tatu au zaidi ukiwa Ujiulizi kuhusu mahusiano,utunzaji wa fedha zako uko vipi utakua na matatizo

    Mkuu umeleta pointi nzuri ngoja wakuu wataizingatia
  3. shushushu wenu

    JamiiForums Tanzania Jamaa anakubaliwa mapema sana na wanawake lakini ndani ya siku tatu anaachwa.

    Hahhaa we jamaa umetupiga chenga ya mwili
  4. shushushu wenu

    JamiiForums Tanzania Simkubali Rais ila kuungana na mabeberu kumpinga Rais ni upumbavu

    Wazungu ni washenzi
  5. shushushu wenu

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki tendo la ndoa, ananikosesha raha

    We jamaa utakua shoga sio bure
  6. shushushu wenu

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 300 Africa haitokuwepo kwani itaitwa jina lingine

    Mwisho wa Africa unaonekana wazi wazi bila kufichwa hata kidogo
  7. shushushu wenu

    JamiiForums Tanzania Maisha hayawezi kukusamehe kwa sababu ya mapungufu yako

    Asante kwakunipa kitu kichwani mkuu
  8. shushushu wenu

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa mapenzi unaweza kukufanya usile chakula?

    Jamaa yangu mmoja alimtosa demu wake asubuhi lakini ilipofika mchana jamaa akaanza kuhaha Mara apande pikipiki Mara aruke ikiwa inatembea Mara acheke hovyo Mara akaenda mgahawani akamkuta ni mama mtu mzma anahudumia jamaa akaagiza menu Mara ghafla akaanza kulia na kumsimulia mama muuza yaliyojili
  9. shushushu wenu

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa mapenzi unaweza kukufanya usile chakula?

    Hahahaha,mapenzi yaacheni tu
  10. shushushu wenu

    JamiiForums Tanzania Kuruhusu mke wako kuwa na mazoea na wanaume ni ubwege wa hali ya juu

    Demu au,mkeo akiwa hivyo ujue manyoya yanakuja
  11. shushushu wenu

    JamiiForums Tanzania Kuruhusu mke wako kuwa na mazoea na wanaume ni ubwege wa hali ya juu

    Kama wewe mwanaume bisha maana mi nishawala wengi kimzaazaa tu
  12. shushushu wenu

    JamiiForums Tanzania Kuruhusu mke wako kuwa na mazoea na wanaume ni ubwege wa hali ya juu

    Yani ukiruhusu tu ameliwa
  13. shushushu wenu

    JamiiForums Tanzania Kuruhusu mke wako kuwa na mazoea na wanaume ni ubwege wa hali ya juu

    Binadamu ana uwezo wa kubadilika sana tu
Back
Top Bottom