Recent content by shungurui

  1. shungurui

    Hamjamkomoa Mo Dewji kwa kukosa ubingwa, mmewakomoa na kuwaumiza sana Wanasimba msimu huu

    Misumali nayo imechangia wachezaji wamefanywa kuwa majeruhi kimkakati, Boko ndio alikuwa mfungaji bora msimu ulipita.
  2. shungurui

    Tuachane na makocha wa formation za kucopy na kupaste

    Japo mimi sio kocha na sijawahi kuwa kocha wa mpira lakini ifike mahali makocha waache formation za kucopy na kupaste. Eti unatumia formation fulani ya mpira simply eti kwa sababu inatumiwa dunia nzima, yaani hata kama huna hao wachezaji wa kusuport iyo formation utalazimishia tu ili mradi...
  3. shungurui

    Mwakinyo Asaini Mkataba wa Tsh. 232m Marekani, mwenyewe afungua

    Ni kweli ila kwa kuanzia siyo mbaya, vinginevyo atajikuta anaingizwa kwenye kile chama bila kujua, kuna watu wanafikiri malipo makubwa yanatokana na kupigana tu au kuimba tu nk, ukiona mtu analipwa malipo ya ajabu yaani makubwa sana basi jua ni member wao tayari, zaidi ya hapo utalipwa kawaida...
  4. shungurui

    NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium Simba 2 - 0 Dodoma Jiji

    Wengine tuko mbali na tv sasa usipotupa updates tunakosa uhondo, natanguliza shukrani lakini.
  5. shungurui

    Uongozi wa Simba SC tafadhali semeni tu Ukweli kuhusu Mchezaji Jonas Mkude kwani haumwi kama ambavyo mnatudanganya

    Hili ni kweli, ila Lwaga kapona,, nazani labda hapagwi sababu ya fitness tu.
  6. shungurui

    Simba sc vs Biashara United kilichoonwa na jicho la Mugah

    Ni hili ni tatizo kubwa. Hata kutoka timu pinzani hasa zile timu mahasimu, ili wanapokutana mmoja awe dhaifu.
  7. shungurui

    Simba sc vs Biashara United kilichoonwa na jicho la Mugah

    Sarakasi, na hasa ukizingatia mechi ya watani inakaribia wanataka wakikutana mmoja awe dhaifu.
  8. shungurui

    Nani yupo nyuma ya ubunifu na utekelezaji wa mikakati ya CHADEMA?

    CCM unibunifu wao uko kwenye wizi wa kura tu, kila uchaguzi wanabuni mbinu za namna ya kuiba maana siasa iliwashinda siku nyingi sana, na katika ubunifu wa wizi wa kura kwa kweli hapa wamefanikiwa hasa ikizingatiwa wahusika wakuu ni vyombo vya usalama.
  9. shungurui

    Mechi za Yanga zichunguzwe, haiwezekani wanashinda mechi kirahisi namna hii

    Mtibwa ni timu ya chama kama ilivyo kwa channel ten, itakuwa ilitolewa amri tu, kuwa waachiwe washinde, siunajua ubingwa safari hii unatafutwa kwa njia yoyote ile ili mradi ubingwa upatikane.
  10. shungurui

    Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu: Lissu awapiga dongo Samia na Magufuli

    Kwa hiyo hao ccm wauaji na wezi ndio wenye busara yaani wabambikiaji kesi ndio wenye busara? Acheni unafiki acheni lisu awaambie ukweli ndio maana mlitaka kumuua.
  11. shungurui

    Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu: Lissu awapiga dongo Samia na Magufuli

    Ni bora kuwa lousy politician kuliko wanasiasa wauaji na wezi.
  12. shungurui

    Bernard Morrison aomba radhi Simba SC, asamehewa

    Nazani anahitaji msaada wa upande wa pili zaidi kuliko kitu kingine bangi nikisingizio tu.
  13. shungurui

    Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

    Nimekuwa nikifuatilia andiko nyingi sana kuhusu madhara covid vaccine, lakini mpaka sasa sijaona andiko lilolo andika lengo kuu la covid19 vaccine, na ili ulijue lengo kuu ni lazima utizame katika mtizamo wa kiulimwengu wa kiroho. Sipingani wanayaoandika, hii ni kwa sababu covid pandemic iko...
  14. shungurui

    Je, ipi ni nafasi ya binadamu linapokuja suala la propaganda za kiimani?

    Ukiwa mtu wa kinadharia kinadharia tu huwezi jua ukweli kuhusu mambo ya kiimani hata siku moja, sana sana utaishia kudanganywa na kujidanganya.
Back
Top Bottom