Recent content by Shungundanga

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ahsanteni sana Wana UKAWA! Msife moyo!

    Hivi mmeanza kufa moyoo? bac haina maana kufanya uchaguzi, maana moyo umekufa!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze sasa alipo Mkuu wa Majeshi, tuna haki kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya katiba ya nchi

    Mkuu anakuhusu nini? Maana unashangaza kumuulizia mkuu wa majeshi! Wa nini wewee!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya kweli; Upinzani Washinda Uchaguzi Mkuu Canada!

    Pole sana!! Canada na Tz, duuu!! kazi tunayo yakuongeza mitaala shuleni!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mama Magufuli uko wapi ujibu mapigo?

    Matusi mmeyatafuta wenyewe!!kumpa lowasa agombee urais
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mama Magufuli uko wapi ujibu mapigo?

    Hata dizain yake, wanampigia, maana sukari ni nomaa!!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Waangalizi wa Uchaguzi wana mpango wa kuisaidia CCM

    Hivi Mboye naye ni kamandaa, siamini!! Mbona ni mwogaa dakika za mwishoo, au ameonaa ni nomaa, magufulii Ikulu!!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mama Magufuli uko wapi ujibu mapigo?

    Unaufahaamu huu wimbo, bado siku ngapii tarataraaaa, tupigeee kuraaaa tarataraaa.magufuliii wetuuu tarataraaaa.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Regina Lowassa on ITV, sikiliza mahojiano

    Lowasa labda wa maboksi!!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Regina Lowassa on ITV, sikiliza mahojiano

    Tena wewe unaonekana ni mpiga dili, nakumbuka ulizunguka nchi nzima kumponda lowasa, kumwita fisadi, leo unaniambia niende mahakamani, haingii akilini fisadi agombee urais!!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mama Magufuli uko wapi ujibu mapigo?

    Tunduma kashindwa kuongea, wanasingizia vipaza sauti.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia: Kwanini Lowassa anahutubia kwa muda mfupi sana?

    Mpaka leo , toka aanze kampeni, kaongea masaa 3 na dakika 27! Noma sanaa!!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mama Magufuli uko wapi ujibu mapigo?

    Hivi lowasa anapiga mambo??
  13. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli azuru makaburi ya babu na bibi yake, Katoma Geita Vijijini

    Nyerere hakuwa hata na nyumba nzuri, wanajeshi walijenga baadaye! huyo ndo mzalendo! siyo mamviiii!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Regina Lowassa on ITV, sikiliza mahojiano

    Tunamsema mama, wewe darasa ulikuwa unashika number ngapi? Maana hujielewi, mimi namsema mama wewe unasema meno ya tembo, sasa meno ya tembo yapo ITV leo?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hali tete UKAWA, Lowassa awaliza Mbowe na viongozi wengine wa Chadema

    Mimi sijapata mgao na siku zimeisha!! duu!
Back
Top Bottom