Shuky's Tender Solutions
We are professional in preparation of Bidding (Tendaring) Documents for all your Business Tendering needs. We insure details and high accuracy for proper guarantee of your business successful Bid
For any inquires please contact us via
Mobile: +255 712384084
Email...

Habari wana jamii forums. Ninahitajibkufahamu kama post za Lab Technician walizotangaza CBE mwezi May mwisho wa ku-apply ilikuwa May 11 vipi wameshaita watu kwenye usaili!?
Hiyo ya kupeleka kwa mawakala sijajaribu. naomba unijuze uwa inakuaje kuaje. Pia kama utaweza kunisaidia namba ya wakala mmoja nimtafute utakuwa umenisaidia sana mwana JF mwenzangu
Hiyo ya kupeleka kwa mawakala sijajaribu. naomba unijuze uwa inakuaje kuaje. Pia kama utaweza kunisaidia namba ya wakala mmoja nimtafute utakuwa umenisaidia sana mwana JF mwenzangu
Habari wana JF
Kwa yeyote anae tafuta mtu wa ku-supply mayai kwamatumizi ya mahotelini,vibanda vya chips, duka, au hata nyumbani tuwasiliane. Bei yangu ni poa sana 7500/= Kwa tray.
Tenda ya kuanzia tray kumi utapata disscount. Ukihitaji kufikishiwa mzigo ulipo pia tunaweza kukuletea.
Piga...
Pale ni kujuans kwa sana ndugu yangu, kama huna unae mfahamu wewe kausha tu unawezakuta watu walishaanza kazi kitambo na mshahara wamesha pokea. Kama unamtu unamfahamu ndo umuulize akupe updates.
Mimi niliwai kufanya internship mahali kwa muda wa miezi mitatu, na kabla ha yapo niliwahi kufanya ofice hiyo hiyo field kwa miezi sita, kwahiyo ukichukua hiyo miezi mitatu ya internship na iyo miezi sita ya field inakuwa jumla ya miezi tisa, na walikuwa wakinitumia kihaswa haswa, nilicho kuwa...
Habari wana JF nataka kuanza biashara tajwa hapo juu. Yeyote mwenye uzoefu na biashara hiyo naomba anijuze gharama zake ziko vipi na kodi za watu wa misitu ziko vipi, Na kama ni biashara yenye faida nzuri. Nina mtaji wa Tsh 2,000,000 Milioni mbili tu. Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.