Recent content by ShukuruEs

  1. ShukuruEs

    JamiiForums Tanzania Usomaji sahihi wa Kipimo Cha HIV.

    Kupima hospitali ni vizuri zaidi
  2. ShukuruEs

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa watumiaji wa miavuli

    saivi kuna vibaraza vingi, kwaiyo mvua ikinyesha watu wanatulia kwanza kwenye vibaraza mpaka mvua ipungue
  3. ShukuruEs

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

    Kama kuna ukweli kwenye hili basi nchi imeshamilikiwa na wachache
  4. ShukuruEs

    JamiiForums Tanzania Nashauri daraja jipya la Wami liwe la kulipisha. Chanzo muafaka cha tozo/Mapato

    Kwakua wamekupiga shavu la kushoto unaamua kumgeuzia na shavu la kulia
  5. ShukuruEs

    JamiiForums Tanzania Duniani wachawi wanatutesa sana hii kitu tumeifukua nyumbani kwangu inasikitisha

    Nguvu wanazotumia wachawi katika kudidimiza maendeleo ya wengine wangetumia kupambania maisha yao wangekua mbali sana
  6. ShukuruEs

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kituo cha Mabasi cha Magufuli Mbezi

    Kikubwa ni kua makini tu
  7. ShukuruEs

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu asipooga ngozi yake inakuwa ikitokwa na jasho jingi?

    Linamkumbusha mtu kuoga tu
  8. ShukuruEs

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu biashara unahitajika haraka

    Ngoja waje
  9. ShukuruEs

    JamiiForums Tanzania NBS waache kutumia jina la Rais kuhamasisha sensa. Wao pia wanajitosheleza!

    Shida yetu tunatamani kupinga kila kitu
Back
Top Bottom