Recent content by Shujaa Mdogo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    We Jamaa Umefikiri mbali sn kiukweli umetoa bonge Moja la wazo. Asante sna Kaka
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ikitokea mwenzawako ametangulia (hatuombei) utaoa/kuolewa tena?

    Huko sahihi maisha ni lazima yaendelee kikubwa ni kutuliza akili ili kupata atakae kufaa km yule wa mwanzo. Km naye alikuwa hvyo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

    Sasa km amezipata ktk mgao wa Mali za urithi je [emoji1787][emoji1787]
  4. S

    JamiiForums Tanzania Asiyetakiwa ni Waziri Mkuu Majaliwa, kila kitu kimepangwa, ajiandae kuachia ngazi

    Wote Hawa ni watoto wa mama mmoja anayeitwa CCM kwahyo wanapopigana we kaa pembeni uangalie pambano mwisho wa cku utajua nani mshindi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Oya mwamba achana nae watu km hao wapi wengi sn ambao kazi Yao ni kukatisha watu tamaa Sasa ukianza kuangaika nao utakikuta muda mwingi unamaliza Kwa ajili Yao badala ya kufikiria ya msingi na kufanya kazi zako. Kwa upande wng nakuunga mkono ndg endelea kutuelimisha, tupo wengi ambao hatujui...
Back
Top Bottom