Recent content by Shoxjr

  1. Shoxjr

    JamiiForums Tanzania Kikwazo kikubwa kwa CR7 kwa sasa wachezaji wenzake hawampi kipaumbele kwa pass

    Ronaldo ana aina ya pass za kumpa sio zote anaweza kuconvert au kukutunzia mali kwa sasa. No. 10, wingers lazima uwe creative sana kiasi kupunguza au kubeba concentration ya baadhi ya mabeki huku ukicalculate movement za Cr7
  2. Shoxjr

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Kuhusu unyumbulifu wa mchezaji, uharaka wa matendo kulingana na pad control, FIFA MOBILE NI BABA LAO Unafungwa kwa uwezo wako wenyewe sio msaada wa game kwa kuchelewa baadhi ya actions Naomba kuwasilisha🙏
  3. Shoxjr

    JamiiForums Tanzania Sielewi kuhusu 5000 years civilization ya wachina, wahindi, arabs, persians &co.!

    Mzungu alijua sana kutawala akili zetu kila kitu unachojua alijitahidi sana kujipenyeza aonekane yeye ndio founder Assume hata mt. Kilimanjaro means kabla haukuwa na jina, mifupa ya binadamu wa kwanza.
Back
Top Bottom