Kuna mtu ame edit imejichanganya paragraphs
Ilikua inaeleweka vizuri tu asubuhi
Original ipo hivi
Nyumba nzima hawakuamka alimpigia magoti mlokole asiendelee kuongea kwa sauti watu wasisikie
Original version ilikua inaeleweka
Siwezi kuachia damu yangu
Mimi ndio nilimtafutia hiyo kazi anayoringa nayo
Huku akijua ana vyeti feki
Sijaelewa kwa nn mnakua wakali hivi badala ya kunishauri
Wakuu,
2006 Nilimpa binti mmoja mimba kwa bahati mbaya, nilimdanganya kuwa sina mke wakati nilikua nae mke alikua anafanya kazi kwenye stationary niliyokua napenda kufanyia kazi zangu tukapatana hapo, tukawa wapenzi. Kwa kweli nilitumia nguvu kubwa sana ya kiuchumi kumpata kiasi kwamba...
Naona hatuelewani
Nachokisema mm ni kwamba mke Wa mtu sumu
Madhara yanajulikana kwa nn uende pale pale?
Sijaelewa unachokisimamia
Unatetea huyo mgoni au?
Una maana gani?
Ndio maana nikasema kama mwanaume umelazimika kuchepuka usiende kwa wake za watu adhabu yake siku hizi wote tunaijua
Sijui...
Sasa siku hizi ukishikwa adhabu ndo hizo
So nikichepuka natafuta mtoto mbichi asiekua na Mme
Wanawake walivyowengi hivi kwa nn tuchukue wake za watu tuwalete wengine maumivu makubwa ya moyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.