⚽️ Mabingwa watetezi Simba 🦁 wanafungua dimba la ligi kuu dhidi ya wageni Ihefu, mnyama atashinda ngapi leo? Simba kushinda ni uhakika
Bofya Parimatch kucheza sasa
Amna kazi Raisi Hapa Duniani hata kama ungeambiwa kazi yako ni kukaa tu kuna siku utachoka utatamani usimame ila ndo hutakiwi.
Manurse na madoctor wamekutana na challenge nyingi na wamezizoea ila hii ni challenge kubwa yao na wote tunaona jinsi wanavyopambania maisha yetu japo yao yapo...

Hamna kazi rahisi hapa duniani; hata kama ungeambiwa kazi yako ni kukaa tu, kuna siku utachoka, utatamani usimame ila ndo hutakiwi.
Manurse na madoctor wamekutana na challenge nyingi na wamezizoea ila hii ni challenge kubwa yao na wote tunaona jinsi wanavyopambania maisha yetu japo yao yapo...
Kuna siku ,katika maisha yetu kila mtu hutaka majibu halisi ya maswali yanayoibuka kichwani mwake ,kwanini maisha ni magumu ? Kwanini maisha yapo hivi?
Hata tunapolenga shabaha tulizojiwekea sisi wenyewe yaani makusudio au malengo ya maisha yetu tuliojiwekea.Bado tunaendelea kuhisi kama hatuna...
WEWE UNAONA NINI?Kila siku unapoamka asubuhi utakutana na “Negative Forces” (Nguvu Hasi) ambazo ni lazima ujifunze kukabiliana nazo ili usipoteze furaha yako. Mtu mmoja aliwahi kusema “Train Your Mind to see the good in EVERYTHING. Positivity is a CHOICE.The HAPPINESS of your Life DEPENDS in the...
Hata siku moja mti au mmea hauchagui aina ya tunda la kuzaa. Muembe hauchagui kuzaa embe au zambarau ni lazima muembe uzae embe.
Mchungwa hauna option ya kuchagua kuzaa chungwa au chenza, nilazima utazaa chungwa kwasababu hiyo ndio asili yake na ndivyo lilivyokuwa designed na aliyeliumba.
Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.