Recent content by shosholozha

  1. S

    Mkurugenzi aigomea bodi ya CCM kujiuzulu

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kamapuni ya Peoples Media Communication iliyo chini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mikidadi Mamhomud amekataa kujiuzuu wadhifa wake mbele ya wajumbe wa Bodi ya Uhuru FM katika kikao kichoongozwa na kigogo wa CCM imefahamika. Habari za uhakika toka miongoni mwa wajumbe...
  2. S

    Kashfa nzito ndani ya CCM: Mkurugenzi atafuna fedha ya NSSF ya walalahoi

    Chama hiki kikubwa na kinachoongoza nchi kimeingia katika kashifa nzito ya mda mrefu ya kutafuna fedha za wafanyakazi wake Z za nssf na pia kuwalipa mishahara midogo tofauti na maagizo ya serikali inayoiongoza.miaka kumi hakuna nyongeza yoyote ya mishahara. Tasisi tanzu ya CCM ya Peoples...
  3. S

    Tabia yako mbaya wala hujanitongoza!!

    huyo demu atakuwa ni wale niangusage tu.
  4. S

    Ugonjwa wa Kusahau/Kupoteza Kumbukumbu: Dalili, Tiba na Ushauri wa Kukabiliana na Hali Hii

    hodi wana JF.habari zenu wooote. mimi nina tatizo la kusahau sahau mambo au vitu.je huu ni ugonjwa?unasababishwa na nini na tiba yake ni ipi?
Back
Top Bottom