Recent content by Short Boe

  1. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Napataje Michongo ya udereva South Africa?

    Wana JF mko poa..? Nina bro wangu yupo south miaka mingi sana anaishi Capetown juzi kati nimewasililiana nae WhatsApp akaniambia kama sielewi maisha ya bongo niibuke kule atanifosia michongo sababu yeye ameshakuwa mwenyeji.. Sasa hiv ndio nipo katika process za kukata passport, lakini kuna...
  2. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza pesa kupitia pikipiki..?

    Nimekupata kiongozi shukrani
  3. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza pesa kupitia pikipiki..?

    Hi ipo vizuri pamoja sana kaka
  4. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza pesa kupitia pikipiki..?

    Habari, Poleni na majukumu Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125 hivi ni mchongo gani wa pesa naweza kuufanya kupitia pikipiki hii ukiachana na Bodaboda Wataalam nipeni michongo mdogo wenu
  5. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Bravo job centre agent

    Habari, poleni na majukumu Kuna kampuni nimesikia inaitwa BRAVO JOB CENTRE AGENT inatoa fursa za ajira za nje ya nchi nilitaka kufahamu hii kampuni Ofisi zao zipo wapi? na je Ni kweli hizo ajira Ni za uwakika..? Msaada kwa anaejua jamani
  6. Short Boe

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwanamke akifanya mapenzi kwa mara ya kwanza lazima atoke damu

    Kumbe ilikuwa chai
  7. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Ni ipi program bora ya Uhasibu?

    🙏 🙏
  8. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Ni ipi program bora ya Uhasibu?

    Naipataje hiyo
  9. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Ni ipi program bora ya Uhasibu?

    Habari za masiku ndugu zangu, Kwa wale wataalamu wa software au wenye fani ya uhasibu nilikuwa nahitaji kijua program ipi ambayo naweza kuitumia kutunza kumbukumu zangu za kifedha hasa kutoa mapato na mafumizi ukiachana na Excel
  10. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadili muandiko

    Shukrani pamoja Sana ndugu
  11. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadili muandiko

    Sawa nashukuru umenitia moyo
  12. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadili muandiko

    Ahsante Sana kaka nashukuru kwa ushauri ntalifanyia kazi
  13. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadili muandiko

    Sawa.
  14. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadili muandiko

    Nataka uwe mzuri
  15. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadili muandiko

    Sawa.
Back
Top Bottom