Recent content by Shomary N. Shomary

  1. Shomary N. Shomary

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Ndomana tunahitaji mabadiliko, na TBC 1 ni moja ya sehemu ya kuifanyia mabadiliko. Change is inevitable.
  2. Shomary N. Shomary

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Makamba unaroho ngumu wewe Duh!!!
  3. Shomary N. Shomary

    JamiiForums Tanzania Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

    Hata mimi nimewachinja FiCIEM, ni mwendo wa MABADILIKO TUUUUUUU.
  4. Shomary N. Shomary

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Teh,teh,teh....... All essential area are covered.
  5. Shomary N. Shomary

    JamiiForums Tanzania Tabora wafunga kazi, UKAWA wabana kila kona!

    Duh!!! Sifongo pole sana. Sasa naomba nikupe ushauri mbaya. Sijui unaweza ukakaficha kale kachinjio kake(kadi) ili asishiriki kuongeza maccm?
  6. Shomary N. Shomary

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    CCM wanamuelewa huyo jamaa ni noma.
  7. Shomary N. Shomary

    JamiiForums Tanzania Goli la mkono lenyewe, hivi ni jinsi linavyoingia kama sio kuingizwa

    Halafu vyuo vinafunguliwa juma moja baada ya uchaguzi, teh,teh,teh,teh....... Jamaa wanambinu hao!!?
  8. Shomary N. Shomary

    JamiiForums Tanzania Dk. Dau aweka historia NSSF, Barabara ya handaki feri-Kigamboni kujengwa

    Kwani hilo la Kigamboni limeshakwisha? Lakini kitu kingine nilichokigundua hapo ktk hilo gazeti ni KAMPENI ZA CHINICHINI. Inakuwaje miradi mingi na mikubwa kama hii ifanyike kipindi hiki kuelekea uchaguzi? Yule naye aliyesema Magufuli ni mchapakazi Mradi wa DART hivi umeshakamilika? Maana huu...
  9. Shomary N. Shomary

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni balaa. Nchi za Ulaya na Amerika zaonya. CCM ilionywa mapema, ikamkata

    Lazima wakae benchi, maana hamna namna.
  10. Shomary N. Shomary

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

    Sahihi kabisa.
  11. Shomary N. Shomary

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wazungumzia tuhuma za Mbowe kuhamisha fedha nje ya nchi

    Nimependa sana maelezo yako. Huo ni ukweli usiopingika, ukiwa ni masikini, siku ukionyeshwa au kutajiwa fedha zenye sifuri nyingi UTACHANGANYIKIWA.
  12. Shomary N. Shomary

    JamiiForums Tanzania Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    Ktk hizi siku 5 zilizobakia tutasikia mengi.
  13. Shomary N. Shomary

    JamiiForums Tanzania Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    Hiyo inaitwa Chukua Chako Mapema, wewe unasubiri nini? Toroka uje!!!!
  14. Shomary N. Shomary

    JamiiForums Tanzania Haya ni matumizi mabaya ya fedha za serikali!

    Zote hizi ni ishara ya kuwa CCM hawataki kuachia madaraka. Mi naamini kabisa wanachama wa CCM endapo wakishindwa Urais hawawezi kufanya fujo, ila kwakuwa wanaona dalili za kushindwa basi wanaandaa nguvu ya kulazimisha ushindi kwa kwa namna yoyote.
Back
Top Bottom