Recent content by Shoby

  1. Shoby

    JamiiForums Tanzania Kitanda cha chuma kinauzwa

    Size: 5 x 6 Kipo Tabata Barakuda Bei: 160,000/=
  2. Shoby

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza website kwa kutumia Simu

    App mnatengeneza kwa bei gani?
  3. Shoby

    JamiiForums Tanzania Tunafanya Website designing ,Hosting na Mobile development

    App unatengeneza kwa bei gan?
  4. Shoby

    JamiiForums Tanzania Mobile App Developer Office

    App unatengeneza kwa bei gani?
  5. Shoby

    JamiiForums Tanzania Pata elimu ya biashara kupitia whatsapp na Brilliant Entrepreneurs Group (B.E.G)

    Naomba niunge kwa group 0715747242
  6. Shoby

    JamiiForums Tanzania Hatua katika uandaaji wa andiko la mradi (Project Proposal)

    Okay project yangu ni kunenga shule nursery and primary angalau nianze kidogo then ndio nitafute mfadhili..bado sina idea katika case ya kuwa chini ya mwamvuli wa taasisi...kama mimi as individual itawia ugumu..nyie mnatoa muongozo wa kuweza ku direct taasisi kwa mtu anaehitaji?
  7. Shoby

    JamiiForums Tanzania Mwl wa physics na Mathematics

    Nami nina wish kuanzisha tuition..natafuta partner tuweke kitu kikubwa nipo tabata
  8. Shoby

    JamiiForums Tanzania Hatua katika uandaaji wa andiko la mradi (Project Proposal)

    Nitakutafuta kwaajili ya kupata proposal..je nawezaje pata mfadhili kama proposal teyari ninayo baada ya kuniandalia kwa project lengwa?
  9. Shoby

    JamiiForums Tanzania Mbinu 5 zakutumia kukuza Online Business kutoka Tsh 400,000 kwa mwezi hadi Tsh 1,000,000

    Nami naitaji elimu ya online busness
  10. Shoby

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Naitaji nifyatue matofali naomba kuuliza mfuko mmoja wa cement naweza toa matofali imara mangapi?
  11. Shoby

    JamiiForums Tanzania Karibu ujenge nyumba ya ndoto yako kwa bei nafuu

    Mnahusika na ujenzi wa shule pia?
  12. Shoby

    JamiiForums Tanzania Karibu ujenge nyumba ya ndoto yako kwa bei nafuu

    Naomba picha ya shule na ramani
Back
Top Bottom