Recent content by Shobondike

  1. S

    Nahitaji mpenzi mzungu

    Nicheki dm
  2. S

    Ushauri wa biashara ya daladala (Mwanza, Mbeya, Dodoma, Arusha, Tanga, Dar)

    Ninahitaji ushauri juu ya biashara ya daladala. Kununua gari mpaka litoke bandarini cost yake na dereva na konda mkataba wao shingapi na kuingiza kwa siku ni shingapi. In short nahitaji kuelewa hii biashara ya daladala
  3. S

    Picha:Wazungu eti wanadai mademu wetu wakiafrika hawana mvuto ebu angalia wao

    Umeongea point braza, sio wazungu wote wembamba in fact hawa wanaangalia hizi media. Angalieni kina Ronaldo madem zao ni wazungu. Mbona waafrika wapo wembamba kina lupita nyongo Ila hatuwaongelei. Binadamu ni binadamu huwezi define by their race
  4. S

    Picha:Wazungu eti wanadai mademu wetu wakiafrika hawana mvuto ebu angalia wao

    Nyinyi mnaosema sijui wazungu ndo wamesema huyo ana mvuto hamna akili kabisa. Wapo wazungu wanapenda waafrika na wapo waafrika wanapenda wazungu. Hyo kwamba mzungu sijui anapenda kimbau mbau ni ujinga mnaeneza vita ya racism tu. Hayo mambo ni ya zamani na yamepitwa na wakati. Wapo wazungu wanama...
  5. S

    Bank account

    Vyanzo halali vipo, shida yangu nijue bank ipi nzuri
  6. S

    Bank account

    [emoji120][emoji120] asante
  7. S

    Bank account

    Eti wanajamvi ni bank gani unaweza fungua account na kuweka pesa nyingi n.k leo naweka dollar 560, kesho kutwa naweka dollar 4700. In short ni bank gani hapa Tanzania naweza kuhifadhi pesa hadi kiasi cha dollar laki tano au dollar millioni moja na at the same time bado naweza ku withdraw na...
Back
Top Bottom