Mimi nadhani watanzania tubadilike, tuache kuropoka na tukumbuke kwamba vyanzo vya machafuko ni sisi wenyewe. Mfano huyo aliyotuma ujumbe huo alifikiri msomaji atapata muudi gani baada yake? Nawaomba watanzania tuwe na fikira ya binafsi kujua matokeo ya ujumbe kabla hujatuma kwa jamii na siyo...
Si kosa kama umeokoka kwa maana maamuzi hayatakuwa ya kwako bali ya Roho Mtakatifu, ila ni kosa kama hujaokoka kwa kuwa maamuzi yatakuwa juu ya Roho wa kisasi.
Mimi nadhani kulipwa mshahara si wizi bali ni haki ya anayelipwa. Na ninaamini kwamba hakuna malipo yasiyo na sababu kwa nini alipwe hivyo kwa maana ya elimu aliyonayo, kazi anazozifanya, mda alotumikia na mengineyo kama hayo. Mimi mwenyewe natamani sana tuongezewe lakini je kwa watu kunyimwa...
Ni ngumu sana kufukuzana na gari kwa Miguu, Marekani ndo mwamuzi wa dunia, ndo anayeamua bei ya mazao unayolima, vifaa vya kazi unazotumia tena ndiye anayewezesha utendaji kazi kuwa mrahisi kwa kukuletea ulimwengu wa sayansi na technolojia. Leo unataka ujitenge nae, hebu fikiri kwanza kabla...
Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu, uchawi upo ila unamfika mtu aliyelegea kiimani. Hivyo kutoamini uchawi ni dawa ya kutokufika, ila ukiamini ndo utakukuta.
Vijana tunazidiwa na wazee kufikiri! Inashangaza sana watu waliokuwa wakitoka nje ktk sakata la lichimondi wakiacha kujadili mambo ya msingi kwa kumtuhumu Lowasa leo anakuwa msafi tena. Kweli nchi ya wenda wazimu hii.
Tatizo tunavijana wengi wanaostahili kuwa hospital za vichaa. Chama kina maamuzi mawili- leo lowasa fisadi kesho lowasa safi, hapo mwendawazimu ni nani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.