Recent content by Shirly

  1. S

    JamiiForums Tanzania tunaomba serikali ilipe mishahara ya walimu wote mwezi huu

    Pole sana ndugu hii ndiyo CCM,wanajenga shule kisiasa alafu wanashindwa kuwalipa walimu stahiki zao.
  2. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anayetaka kuja Mpanda nije Pwani, Morogoro, Tanga,Mtwara au Lindi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Answer this question correctly and WIN

    Niliishia kidato cha nne,nikajiunga na chuo cha ualimu VIKINDU,Ila bado sijaajiriwa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Answer this question correctly and WIN

    Asante mtoa mada nashukuru sana.Kwa wale waliouliza nipo level gani Mimi ni mwalimu ngazi ya cheti ilabado sijaajiriwa.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Answer this question correctly and WIN

    1[a](i)Production of gases, (ii)Purification of copper by electrolysis, (iii)Manufacture nf elements, (iii)Electroplating. (bi)Time=863.9sec (ii)weight of coper =0.427g, and weight of zinc=0.439g.
  6. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI imetoa tamko kuhusu ajira uwalimu awamu ya pili

    Google jina Kasim Majaliwa utauna CV yake kisha chukua namba zake.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tukumbushe a.k.a yako ya shule/Chuo

    Antlog coz nilikuwa nimeelewa haraka hesabu za log,so mwali wangu akawa ananita hvyo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hili la Mwenge Waziri Liweke Vizuri. Ni Kero kwa walimu

    Pole sana,ila kwakuwa umetambua mchango wa wapinzani basi mwakani tuwape nafasi kama india wameweza nasisi tunaweza.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

    Karimu Kilonda na Abdul Mkangama olevel,Saidi kapilima primary huyu alikuwa mtaalam wa kujamba.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kurudia au kurisiti mtihani.

    Poleni na pilila za hapa na pale wana JF. Naomba kuuliza ukirudia mtihani(kutafuta kredit) na ukafaulu vizuri.Je kuna uwezekano wakupangiwa katika shule za serikali?Natarajia majbu mazuri.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini kada nyingine unadharau walimu je ni sababu ya mshahara mdogo au ni nini...??

    Hata wewe unaesema hvyo ulifundishwa na walimu hoa hao unaosema ni felia.Je kama wao wamefeli na hawajui walifanyalo wale wanaofaulu vipaji wanafundishwa na walimu gani? Acha dharau kufeli mtihani haimaanishi hauna akili.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Nyasa

    Nyasa ipokanda ya ziwa eeeh! naogopaje huko, maana nasikia mikoa ya kanda ya ziwa wanachinja watu kama anavyo chinjwa Ng'ombe.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Jifunze lugha za kigeni ndani ya jf

    Lugha ya malkia ianze
Back
Top Bottom