Recent content by shinyanga1

  1. shinyanga1

    Wanawake wa Dar na tatizo lao la kuomba omba hela

    Tatizo liko kwetu wanaume .....tunapenda sifa zisizo na msingi. Unakuta mwanaume anajijua yeye ni Kalubandika hana pa kula wala pa kulala anamwaproach binti kwa adivitize kubwaaa ...akibanwa kuhudumia anakuja analalama JF....Si ulitaka mwenyewe lakini? ukiona mziki mnene huwezi kuucheza...
  2. shinyanga1

    Nimeshindwa kwa kweli,anaomba sana hela. Nahudumia kama nimemuoa

    Tatizo la kujifanya matawi ya juu siku za mwanzo..kumbe ni kalubandika!!!.....Jitaidi uwe mkweli mtu akujue msimamo wako tokea siku ya kwanza....sio kujifanya mboga saba kumbe unashindia ugali na mbilimbi.
  3. shinyanga1

    Wanaume hii maana yake nini?!

    Huo ni upoyoyo! Dume zima unajilemba kama sio ungese ni nini?
  4. shinyanga1

    Msaada: Dume zima nina aibu mbele ya wanawake

    Oa mwongeaji...ili kubalance
  5. shinyanga1

    Niko Dilemma

    Endelea kulemba utakuta mwana si wako! Unapendwa halafu unaleta mashauzi....ngoja shavu zikushuke kwanza utawatafutia kwa waganga wa kienyeji.
Back
Top Bottom