Recent content by Shinson

  1. Shinson

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    TRA oral wameitwa watu 24, na wanahitaji watu 6
  2. Shinson

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shida ni hiyo tarehe 08 mkuu sahili zimegongana na ni mikoa tofauti(dar na dodoma). Maana ninaimani nitavuka written ya tarehe 05 dodoma, kwa uweza wake Mungu.
  3. Shinson

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    TRA wanahitaji watu 6
  4. Shinson

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    .
  5. Shinson

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nimejichanganya kwa kweli, kwenye ratiba wameandika zote tatu, usaili wa kuandika, vitendo na mahojiano. Nipo njia panda, baada ya TRA kubadili ratiba ya usaili wa mahojiano kuwa tarehe 08/11, na hapo jana nimekuwa shortlisted utumishi mda's & lga's Saili nilizonazo Tarehe 05/11 -MDA's & LGA's...
  6. Shinson

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Habari wakuu Naomba kuuliza, hivi kwa kawaida huwa kuna usaili wa vitendo(practical) kwa kada ya technician II (civil) kwa mwajiri MDA's&LGA's, au huwa ni wa kuandika na mahojiano tu?
  7. Shinson

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status : INTERNSHIP/JOB SEEKER Profession: CIVIL TECHNICIAN Experience : FRESH GRADUATE Education level : ORDINARY DIPLOMA IN CIVIL ENGINEERING Age: 22 YEARS Contact: 0677887740 SKILLS: [emoji3502]Competent in preparation and design of Architectural and Structural drawings using ARCHICAD and...
  8. Shinson

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Ngaramtoni ARUSHA kinauzwa

    Picha zinapendeza. Weka bei mkuu.
  9. Shinson

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Shinson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pokea pesa kutoka Paypal kuja M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money

    Mkuu naomba unisaidie namba zake kama unazo PM, mimi nipo arusha Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Shinson

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Mambo yameenda kasi sana mkuu, ni jana tu nimefanya kama hivyo ulivyosema na nimeshapata getto na kulipia miezi 5, kwa sasa nípo mkoani ila nimeshapata pa kufikia mwezi ujao wa kumi. Shukran kwa uzi bora mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Shinson

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Wakuu.. Natamani na mimi nipate getto, kwa anaefahamu kama kuna master room, location magomeni mapipa budget 100k, nisaidieni ndugu zangu! Bila kusahau kifuta jasho Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Shinson

    JamiiForums Tanzania Chips nyama 8000 Singida Hotelini

    Mwalimu wangu aliniambia "Sio kila kitu kimewekwa/tengenezwa kwaajili yako"
  14. Shinson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Are you math smart?

    6
  15. Shinson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makato ya PayPal Tanzania yakoje?

    Okay shukran
Back
Top Bottom