Recent content by Shinishi

  1. S

    KERO Zebra Crossing kufutika barabara kuu Morogoro -Dodoma Mamlaka zipo kimya kwanini?

    Zebra nyingi za mjini Barabara Kuu ya Morogoro - Dodoma nimeshangaa sana kwani zimefutika, mamlaka zipo kimya na hii hali imekua ya muda mrefu na hamna anayechukua hatua. Hatutarajii mpaka yatokee madhira kwa watu ndiyo mchukue hatua, mamlaka chukueni hatua sasa hivi inatia aibu.
  2. S

    Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

    Serikali kwa huu mfumo wametengeneza mwanya mkubwa sana wa rushwa, kifupi ni uhuni mtupu
  3. S

    DOKEZO PCCB wilayani Bunda mfuatilieni kijana huyu anayekagua leseni za biashara

    Namm nashangaa, afsa maendeleo ya maswala ya kodi wapi na wapi?
  4. S

    Furaha yatawala Iran kuwashambulia Israel, tutegemee shinikizo kwa Israel kusitisha vita kipigo kikikolea?

    Hapa tutegemee vita kali sana pamoja na washirika pande zote
Back
Top Bottom