Recent content by shingtoju

  1. shingtoju

    JamiiForums Tanzania Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

    Mtoa maada tilia kwene folen utumbuliwe mbona kelele mapeeema ata zamu yako bado
  2. shingtoju

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

    Kumbe manafiki bado yapo ndivyo yalivyo hata ulibebe mgongon litakusema tu jinga kweli hili linafaa kunyongwa
  3. shingtoju

    JamiiForums Tanzania Soma hii halafu fanya maamuzi sahihi

    Tatzo mitaji kwan nanianapenda kuajiliwa?
  4. shingtoju

    JamiiForums Tanzania Imani niliyonayo kwa Magufuli, itakwisha atakapomteua Ridhiwani Kikwete

    Ushauli wangu kwa magufuri namuomba ajiunge humu jf maana kuna mengi ya kumshauli
  5. shingtoju

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Haya matanzania bhana shida kweli hayohayo kulalamika huduma mbaya hospitali,sasa wahuska wameanza kuwajibishwa nayaona tena yanasema anakurupuka,uongozi bora hauko hivyo yaan sjui uyafanyie nn haya matanzania yakuelewe
  6. shingtoju

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu, hivi ni sahihi kufuta kabisa safari za nje?

    Zimefutwa kwa mda ili wachunguze kwanza zip zina tija na zip hazna tija kwa taifa subili tamko litatoka
  7. shingtoju

    JamiiForums Tanzania Nitamwona Magufuli yuko tofauti kidogo kama walau akifanya hivi...

    Mtoa maada amejaa unafiki kama hata mke watoa maada hajui mshahara wa mme leo hii unalopoka rais atangaze mshara wake! Hebu mwambie kwanza mkeo unalipwa shi ngap mbona umemficha?
  8. shingtoju

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwembamba sana, nahitaji dawa za kunenepesha mwili

    Onana na c mchina
  9. shingtoju

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Kubali kushindwa kuliko kutaka kuvuruga aman ya nchi na kumbuka umeanza kuing'ang'ania kuingia ikulu tangu mwaka gan lakn inashindikana kaa jiulize na fikilia ni kwann kwahiyo jua huna bahat ya kuingia ikulu usilazmishe kwenda ikulu wakati umeshindwa mzee
  10. shingtoju

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa ni Hon. Edward Ngoyai Lowassa, tungefurahia ushindi tangu hatua ya kwanza ya matokeo!

    Na hili wajifunze leo badala ya kuongeza wabunge bungen wanazdi kungua ivi hajui tatzo liko wapi? Au mnazan watanzania ni wapumbavu wakudanganywa tu leo unamwambia hii ni sumu ukinywa inaua harafu kesho unakuja unamwambia ni soda kunywa wakati jana ulimwambia sumu
  11. shingtoju

    JamiiForums Tanzania Shuhudia mazishi ya CHADEMA Songea

    Walisema et "plate namba imetondoka tutaisomaje?" hube ni kweli imedondoka? Je wameisoma sasa? "Hapa kazi tu"
  12. shingtoju

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Niliwaambia mafuriko sio uwanjan bali ni kwenyw sanduku la kura si wanaona!!? Huku geita lowasa hana chake
  13. shingtoju

    JamiiForums Tanzania ITV wamekuwa hawaoneshi Mikutano ya CCM ya Kampeni

    Magufuri rais wetu watanzania
  14. shingtoju

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Lowassa yavuja

    Alikuwa wap zaman harafu nilizan atarudisha fesa yetu ya richmond aliyosepa nayo
  15. shingtoju

    JamiiForums Tanzania Magufuli amuumbua Ridhiwani Kikwete Chalinze leo

    Hapa kazi tu" kasha anza kuwashugulikia sasa rizone chunga sana hili jembe jingne sio lile la home!!!
Back
Top Bottom