unadhani ya mabomu Nairobi na Mombasa ni Alshabab peke yao?! La hasha, Masheikh wameuliwa Mombasa, chuki ipo tena kubwa. Na pia uhai wetu upo kwenye kisasa. Sasa sisi wa Tz tulete kidomo domo, tutaja gundua rangi ya ngozi yetu, kuwa kabila moja, au majirani sio ithibitisho wa udugu, tuendeleeni...