Recent content by Shingofeni

  1. S

    CHADEMA Yalaani kufukuzwa Chuoni Waziri Mkuu wa serikali ya wanafunzi Philipo Mwakibinga

    Wewe Cakulagani ni mpumbavu kama lilivyo jina lako
  2. S

    Membe sio mmiliki wa Naf Beach Hotel

    Wewe Kiluvia usifanye watu hawana akili hoteli ni ya Membe ni zile pesa ni za Gadaffi hata bungeni aliulizwa akajikanyaga pesa hizo wamegawana na JK baada ya Gadaffi kufariki.
  3. S

    Sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar: Yathibitika hoja za Warioba kuhusu Muungano haikwepiki

    Ndugu yangu Aweda issue hapa si serikali ya Zanzibar ni viongozi wetu tu hasa huyu JK. Kama alivyosema mzee wetu wa kuheshimiwa Warioba Mwalimu Nyerere aliacha nchi moja na Serikali 2 yaani ya JMT na SMZ. Na kwa wenye kumbukumbu au siye tulikuwepo zamani kidogo sherehe kama hizi (kwa mfano za...
  4. S

    Double Down: Bunge Likiendelea na Mjadala Majaji wa Mahakama Wote Wajiuzulu

    Bily inaonekana siasa za Tanzania huzijui ndugu yangu. Wale mafisadi wa EScrow wameshawatumia wabunge wa CCM kuhakikisha huo mjadala leo hauendelei kwa namna yeyote ile. Wewe kaa kando ya Luninga uone vurugu zitakazotokea Dodoma leo halafu utakubali maneno yangu.
  5. S

    Prof. Kikwete aenda Marekani

    Huyo Vasco da Gama mpaka aache nchi mifupa ndio tamjua yeye ni nani?
  6. S

    Amon Mpanju: Wamenipiga huku wakijua mimi sioni macho

    Huyu Amoni Mpanju anatumiwa na CCM ingawa yeye alienda kwenye BMK kutoka kundi la 201. Kuna wakati Ismail Jussa aai BMK kaba UKAWA hawajasusia alimtolea maneno makali hadi kumwambia ndio maana hana macho na huo ndio ukweli bora akose kabisaa hayo macho maana ni kibaraka mbaya sana wa CCM...
  7. S

    Picha: CCM yawakutanisha President Salva Kiir na Riek Machar, watia saini mbele ya Rais Kikwete

    Hongera CCM kwa kuratibu hiyo ya kuwakutanisha hao WaSudan kusini Tatizo yenu yawanawashinda ngojeni Machi mwone moto wa nyikani unavyowaka ndio Knana atasoma nabana kuja yye ni Msomali. Acheni hizo CCM ni chama kinacho aminiwa Duniani, kwa kuleta Ukombozi , Uhuru na mapatano Katika Afrika. Na...
  8. S

    Picha: CCM yawakutanisha President Salva Kiir na Riek Machar, watia saini mbele ya Rais Kikwete

    Hongera CCM kwa kuratibu hiyo ya kuwakutanisha hao WaSudan kusini Tatizo yenu yawanawashinda ngojeni Machi mwone moto wa nyikani unavyowaka ndio Knana atasoma nabana kuja yye ni Msomali.
  9. S

    CHADEMA: Samuel Sitta anajipunguzia uhalali wa kutafuta mwafaka Katiba Mpya

    Hongera Chungurumbira. Samuel Sitta ni -------- tena sana kama walivyo MA CCM wenzake. Nawasihi UKAWA msiende kabisa kwenye hicho kikao alihoita maana choi kikao chake cha Arusi ya huyo Demu dada yangu aliyempachika mimba kule kwetu Dodoma nauze huo alionao. Kati ya hao Wachungaji anaodai...
  10. S

    Maaskofu wamshangaa Kikwete kwa kuikejeli Rasimu ya Katiba

    Nakubaliana na Hess inawezekana TBC ndio waliopotosha kwa makususudi alichokisema Askofu. Hii inathibitishwa na hayo yaliyosemwa na Askofu Rais wa TEC jana. Last week niliandika hapa kwenye forum kwamba UKAWA wako tayari kurudi Bungeni hata sasa hivi ili mradi Rasimu ya Jaji Warioba ndio iwekwe...
  11. S

    Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC): UKAWA rudini bungeni bila masharti

    Ni kweli Mkulima wa Kuku. Kanisa Katoliki kama kweli huo ndio msimamo wao basi wanaanza kuchemka. Wanapaswa wawambie CCM na hao Viongozi waliokuwa huko Iringa kuwa UKAWA wanaweza kurudi ili mradi Rasimu iliyowasilishwa na Jaji Warioba ndio iwekwe mezani na si vinginevyo. CCM ndio waliendekeza...
  12. S

    Kikwete: Nakusudia kurejea darasani kufundisha

    Kwani nani asiejua kwamba alimpikia majungu Sayore aliyekuwa Mkuu wake pale CTU Monduli then alipowekwa kitimoto mbele ya wenzake alikimbia na kuacha vitu vyake vyote na nauli ya kuja Dar kutoka Arusha alipewa na PIMBI wa Monduli ambaye alikuwa Ni Abdulrahmani Shimbo. Alipompa Shimbo unadhimu...
  13. S

    Live Updates: Yanayojiri bungeni Dodoma, leo tarehe 17 Juni 2014

    Sangarara ni hivi N/Spika aliposema Assumpter Mshama ni wa watu wa jimbo la Kongwa kwani huelewi? Assumpter Mbunge wa Nkenge Bukoba ameolewa na Julius Mshama wa Mtanana huko kwetu Kongwa. Mimi ni shemeji yangu na hata kampeni kule Bukoba alichukua vijana wa Mtanana kumsaidia. Hivyo Ndugai...
  14. S

    Asha Bakari aogopa kuzomewa Avaa Ninja mda wote atembeapo maeno ya mjini Zanzibar

    jamani kwani hao UAMSHO wako wapi huyo mama Asha Baraka ndiyo alikuwa kinara wa matusi tena dhidi ya Wazanzibari wenzake sasa UAMSHO kwenye lile Bunge la Katiba. Si mlisema Tindikali imetayarishwa kwa ajili yake akirudi kuoka Dodoma? Mmwagieni liwe funzo kwa wasaliti na wasatonge wenzake wa CCM.
Back
Top Bottom