Habari wanajamii,
Nilikuwa na wazo la kutengeneza mikoba ya ngozi orignal.
Naomba msaada kujua upatikanaji wa ngozi, nipo Dar es Salaam.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni idea nzuri mkuu kutokan na mazngr yanayo kuzunguka bx utakapofanya maamuzi cz najua mambo ya mbugni tsht za tour muhimu ntaomba tender ya ku design na kuprint ...all da bst
Habari zenu wapendwa. ..
Jamniii wenzangu mimi najihusisha na maswala ya printing natafuta tender kwa yeyote anayehitaji huduma au anayeweza nisaidia kupata
Usiku mwema
Habar zenu wapendwa
Samahani kwa wale wanaotumia machine ku print vitu kama tsht vikombe na vingine ... samahan naomba kujua bei ya tranferpaper na wapi naweza kupata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.