Recent content by Shin Lim

  1. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Makonda: Rais Samia anahitaji sana maombi, Kanisa halina sifa na halipaswi kunyoosha kidole

    nilijua tu ni kkkt wazee wa madili
  2. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tukisema jezi ni mbaya mnatupeleka Mahakamani? Hatuna haki ya kutoa maoni?

    Ila kufanya biashara na serikali ni hatari sana
  3. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa kiafrica wanatembea kwa miguu huko New York na ulinzi hafifu wakati wakiwa hapa nyumbani ni miungu watu?

    Emmanue Macron amewahi kusubirishwa barabarani kwa miguu mpaka mzee trump apite.
  4. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ujue kuna hawa jamaa walisomaga kipindi cha analogy wanajua zama ni kama zile, kumbe mabo yamebadilika kabisa. Pamoja na kuijua password yake lakini bado naweza kushea na device 8 kwa muunganiko huu huu alionipa ila nahisi speed itapungua kidogo.
  5. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ndio najua sasa nikawa namshanga ananiona mimi mjinga kiasi gani
  6. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kuna jamaa anatumia TTCL fibre ameniunga kwenye PC yangu, password anaweka mwenyewe kwa kujificha ili nisione sijui anahisi nitaijua.
  7. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyo tapeliwa kwenye betting

    Mimi hapo jinsi ulivyofikisha bilioni 155 hoi
  8. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahaha haaaa dah! uko na yeye bene bene mpaka aheshimu odds 2. Watu wanashukulia odds mchezo sana. Ukiwa na uwezo wa kutengeneza odds 2 zenye uwezekano wa kula kwa kwa mtaji wa 20,000 tu kwa wiki unakuwa na 2,560,000 kitu ambacho wakamaria tumeshindwa halafu mtu anatokea anasema odds rahisi.
  9. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na hela yake ukishinda wanakupa kama ilivyo wanajua ugumu wake, hao wengine mnakatana kodi ila malipo uhakika na fasta sana.
  10. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawana tofauti kubwa kuna baadhi ya optiona wanatofautiana kwa zamu. Mfano angalia (2UP) hapo 1xbet kamzidi parefu sana sportybet wakati normal ni karibia sawa tu.
  11. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tena unakuta hizo goli 2 zimeingia ndani ya dakika 20, hapo una kazi ya kubana pumbu kwa dakika 70 lisiingie goli yaani u unakuwa kama unauguza mgonjwa wa ukimwi wa miaka ya 1999.
  12. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tena huo unakuwa ushindi wa kishindo wa 99.999% hauna mashaka kabisa sio ile umeomba under 2 halafu mechi inatoka 2-0.
  13. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Anayesema odds 2 ni rahisi naomba alete siku 7 mfululizo zikitiki zote nitampa 450,000 hata kwa mwanasheria tuandikishane. Hii kazi nina miaka nane sijawahi kufanikisha kushinda mfululizo siku 7 kwa uhakika, nilishinda mara 9 ila kwa kubahatisha tu na kuponea chupuchupu mikeka inatiki dakika ya 94
  14. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    odds zilikuwa nzuri sana hizi na zimetoa mapema tu
  15. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Man U wanapiga mtu huko EFL Cup

    hii ndio man u ninayoijua
Back
Top Bottom